Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

umenkumbusha mbali mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwalim aliingia darasan akawataka kila mwanafunz ataje kaz ya baba zao na mama zao.....

*JUMA* baba yang dereva mama mwalimu...…..

*VICTOR* baba yang mfanyabiashara mama mkulima......

*KISHOKA* mama yang *MALAYA* baba simjui.......

*Mwalimu* "pumbavu" nikukute ofcn umwambie mkuu ulichokisema apa..

Kishoka akaondoka kuelekea kwa mwl mkuu....baada ya dakika chache kishoka anakuja anatabasamu huku anakula biskut...

*Mwalimu:* mwl mkuu kakupa adhabu Gan..!!
*Kishoka:* kaniambia nimpe namba ya MAMA.........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary ...anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize... Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa..

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
[HASHTAG]#khaaaa[/HASHTAG] no stress
 
Argument of the day.
Wikipedia : I know everything.
Google : I have everything.
Facebook : I know everybody.
Internet : Without me, you are all nothing.
battery: Keep talking …we shall see.[emoji34]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…