Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

2bd02a6e1dda2c17a97e52069f9a0f17.jpg

Wasafiiiii
 
House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.
Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza 'what happened to my plate?
House girl akajbu: 'The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjee......the pasuka paaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika[emoji23]akili yangu naijua mwenyewe.
umenkumbusha mbali mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwalim aliingia darasan akawataka kila mwanafunz ataje kaz ya baba zao na mama zao.....

*JUMA* baba yang dereva mama mwalimu...…..

*VICTOR* baba yang mfanyabiashara mama mkulima......

*KISHOKA* mama yang *MALAYA* baba simjui.......

*Mwalimu* "pumbavu" nikukute ofcn umwambie mkuu ulichokisema apa..

Kishoka akaondoka kuelekea kwa mwl mkuu....baada ya dakika chache kishoka anakuja anatabasamu huku anakula biskut...

*Mwalimu:* mwl mkuu kakupa adhabu Gan..!!
*Kishoka:* kaniambia nimpe namba ya MAMA.........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary ...anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize... Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa..

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
[HASHTAG]#khaaaa[/HASHTAG] no stress
 
Argument of the day.
Wikipedia : I know everything.
Google : I have everything.
Facebook : I know everybody.
Internet : Without me, you are all nothing.
battery: Keep talking …we shall see.[emoji34]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom