Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Haichekeshi....ina ukakasi
 
Watu leo mmezamia harusini nini?maana kimya kabisa humu.Maana balimi za sherehe tamu sana sijui kwa nini yani!
 
*Teacher:*
*Leo tutanza kwa vitendawili, nani ataanza*
*Saleome:*
*akasimama, kitendawili wanafunzi wote teeeegaaaaa*

*Salome nivuwe nguo nikupe utamu*
*Teacher:*
*pumbavu, kitendawil gani hicho? haya tutajie jibu lake*
*Salome: jibu ni NDIZI*

*Teacher: hoi.*
[emoji3][emoji3]
 
*Kuna sehemu nikipita huwa nanunua sambusa za kula kama tano hivi[emoji4][emoji4], sasa j'pili tulipokuwa kanisani mchungaji akasema watu tutubu dhambi zetu [emoji120]. Yule mzee muuza sambas akanyanyuka akaenda kutubu, basi akasema anaomba Mungu amsamehe kwa sababu huwa anaweka nyama ya mbwa kwenye sambusa[emoji15][emoji15]. Yaani sijui hata yale mawe yalitoka wapi ndani ya kanisa, lakini hata mchungaji alirusha* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi nilienda kumsalimia Ma'mdogo angu kwake KIVULE basi baada ya kukaa kidogo akaja MWANAE akaanza kunambia "ANKO KISIMI!" Kheeeh! nikashituka nikamwambia unasemaje ww!? Si akarudia tena bhana! "KISIMI ANKO" Aisee nikashika BAKORA nikamchapa kweli ndo Ma'mdogo anakuja anasema mtoto alimaanisha:- "KISS ME" Haya mambo ya kupeleka WATOTO SHULE za INTERNATIONAL ndo yanatuumbua hata sisi tusiojua kidhungu kudadeq!
 
***** hiyo si mchezo nchezo...
 
Kaka,jifunze ngeli utajaumbuka siku moja.Achana na wanaosema haina maana wakati kila kitu kinatoka kwao.Mchele tunalima sie,kuuza mpaka uweke nembo ya kizungu ndio uuze(ulimbukeni lkn ndo tunauza hivyo kwa ujinga wa akina ofkozi)Jifunze utafanya hata tubiashara twakijinga ilimradi uteme ngeli unatoboa
 
Dunia ina mambo sana hebu cheka kdg
Kuna mama mmoja anaumbo zuri sana hipsi za kutosha na mkia wa nguvu kiuno nyigu na uso kama alama ya love, sasa huyo mama anakaa sehemu ambayo ina choo kisichokuwa na paa
Siku moja jirani yake akawa anataka kuweka umeme kwenye nyumba yake akawaita mafundi toka tanesco walipofika wakapanda juu ya nguzo kwa ajili ya kuunganisha nyaya, wakaweka vzr wakamaliza, fundi aliposhuka akamwona yule mama anaenda kuoga, ghafla akajifanya kasahau kuseti waya mmoja kule juu akarudi kuurekebisha lengo ni ale chabo
Yule mama akaingia bafuni hajui hili wala lile jamaa akapanda akaanza kumwangalia akivua nguo akatoa kanga jamaa anaangalia tu katoa sidiria jamaa anaangalia tu huku kaning'inia juu sasa wanawake huwa wanapendaga kuoga na chupi mama akaanza kuoga jamaa akaropoka bado hujavua chupii.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kilichoendelea jamaa alipigwa shoti akaangukia dushee likavunjika mpaka sasa kabakiwa na kibamia tu
 
Unakula chabo jamaa akila mambo bahati mbaya Umeme unakatika halafu unamsikia jamaa anasema kibiriti changu sijui kiko wapi niwashe mshumaa
Kwa kupenda chabo unaweza kumwambia ninacho hapa bro... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…