Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*****[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
 
 
majamaa wawili walikua wakiangalia taarifa habari,ikaonyeshwa habari ya mtu aliyejirusha kutoka ghorofa ya 10 mpaka chini na kufariki wakati hilo tukio likioneshwa lilivyotokea,ubishi ukaanza.
Don:huyu mtu hawezi kujirusha.
Jon:lazma ajirushe naafariki kama habari inavyosema.
Don:tatizo lako wewe ni mbishi..hivi unafkiri ghorofa 10 ni mchezo ee.
Jon:basi mimi nafunga pesa..asipojirusha nakupa 50000tsh.
Don:haina haja.. wewe funga jiwe..mimi ntakupa 100000tsh kama akijirusha.
jon:sawa.
wote wakatazama kwa makini nini kitakachoendelea na mwisho yule mtu alijirusha na kufariki kama habari ilivyosema.
jon:sasa je..sinilikuambia
don:sawa leo umeniotea(huku akimpa pesa Jon alizo muhaidi).
Jon alimuonea huruma Don nakuamua kufunguka.
Jon:nlikua najua kitakachoendelea,kwasababu hii habari tayari ilishaoneshwa asubuhi kwaio chukua pesa zako.
Don:hapana hata mimi niliiiangalia asubuhi ila sikutarajia kama yule jamaa(marehemu) kama angerudia kuruka tena usiku huu.
 
We jamaa kwa kuchekesha unatisha[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna watu wa aina 5 ni vigumu kuwashauri

Mwanamke aliependa

Mwanaume mwenye hela

Mfuasi wa gwajima

Mwanachama wa ccm

Washambiki wa arsenal
[emoji125][emoji125][emoji125]
Ukimaindi njoo unipige Niko geto
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
We jemaa aya bangi zitakuua
 
Jamii forum kuna watu wana akili mbov sana lol kudondoka gani huko kwa kwenda juu[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…