Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Nzuriiii iyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji38] [emoji38]Wakati ye mwenyewe ana 46 [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Wanawake ndio viumbe wa ajabu kabisa huku duniani... Huwezi hata kuwaelewa

USO wa mwanamke ni 10% na 90% ni sehemu nyingine zilizobaki...

Lakini atatumia 90% ya mda wake kwenye kioo kwa ajili ya uso na 10% kwa ajili ya sehemu nyingine iliyobaki
 
Leo kwa mara ya kwanza nimejaribu kuvuta bangi,na hakuna chochote kibaya kimenitokea! Ila ndugu zangu wooote, heri ya krismas[emoji318][emoji319][emoji348]na mwaka mpya 1946, na tunapouaga mwaka 2023 kuelekea 2009 tutaonana tena 2004 kwa uwezo wa mungu, amen!!
 
Hii sio bangi ni mtindio Wa ubongo[emoji28]
 
Wanaume eeh..
Basi km tulivyokubaliana kene kile kikao chetu cha mwaka huu.. HAKUNA KUFUA BOKSA MPK IPITE KWANZA KWA MKEMIA MKUU, MZEE PUA..
[HASHTAG]#Basi[/HASHTAG] sawa nyie endeleeni, mm nina udhuru, nimeoa
 
UTAFITI;
Kesheni mkiomba; kauli hii imesababisha ongezeko la watoto kwa wingi.

Mwisho wa utafiti.



.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…