Mkuu wa Kibiti
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 776
- 1,136
Uchochezi[emoji12] [emoji12]wachezaji wa yanga wakijikusanya eneo moja pembeni kwenye kona ya uwanja na jezi zao unaweza kudhani ni bustani ya matembele[emoji6][emoji6][emoji23][emoji23]
Hahaha huu sasa ni utani wa ngumiwachezaji wa yanga wakijikusanya eneo moja pembeni kwenye kona ya uwanja na jezi zao unaweza kudhani ni bustani ya matembele[emoji6][emoji6][emoji23][emoji23]
Kabisaa
[emoji23][emoji23]MATUNDA YALIKUA YANAPIGA STORY KM HIVI:
CHUNGWA: mimi naona kama nafanana na dunia
APPLE: mimi najiona nimefanana na moyo,
NDIZI: hebu badilisheni story tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23]MATUNDA YALIKUA YANAPIGA STORY KM HIVI:
CHUNGWA: mimi naona kama nafanana na dunia
APPLE: mimi najiona nimefanana na moyo,
NDIZI: hebu badilisheni story tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Haya Maisha Duniani hupaswi kumwamini mtu yeyote.... Hivi unajua kuwa hata TANESCO wana Generator ofisini kwao....*
*#Uaminifu Ushaisha*[emoji1321]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]