Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

5ad165bcba1f7f37068c93f15571ce43.jpg
 
Yaani Wenger hata kama atapewa samaki awafundishe kuogelea[emoji13] [emoji13] basi hao samaki nao watazama[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
KWA TAARIFA YAKO ATA UMPENDE NA KUMSOMESHA SHULE ZA GHARAMA MWANAO

AKIULIZWA..UKIWA MKUBWA UNATAMANI KUA KAMA NANI? YUPO RADHI ASEME NATAMANI KUA KAMA hamorapa KULIKO ASEME NATAMANI KUA KAMA BABA YANGU.

Ata mm sitamani kua kama baba yangu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
MATUNDA YALIKUA YANAPIGA STORY KM HIVI:

CHUNGWA: mimi naona kama nafanana na dunia

APPLE: mimi najiona nimefanana na moyo,

NDIZI: hebu badilisheni story tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MATUNDA YALIKUA YANAPIGA STORY KM HIVI:

CHUNGWA: mimi naona kama nafanana na dunia

APPLE: mimi najiona nimefanana na moyo,

NDIZI: hebu badilisheni story tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23]
Vp yale matunda yanayofanana na tunda tamu "K"
 
Fikiria mkeo kalala AF anaota..

Yupo yard na mchepuko kambiwa achague gari la gharama yeyote na amehaidiwa kupangishiwa Nyumba ya ml6 kila mwezi,shopping nje ya nchi kila mwezi...

Wazazi wake watajengewa Nyumba ya gorofa moja na gari ya kutembelea..

Katika harakati za kuchagua gar kakutana na gari la maana kabla hawajapewa funguo walitest unamkurupua..
WE MAMA CHIMUNDU AMKA KUMEKUCHA!!af mmepangisha uswahilin chumba kimoja....


Ukiona mkeo kuna siku kaamka na kisirani ujue umetibua mipango yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Leo wakat Niko kweny mishemishe zangu nikapita maeneo flan HV nikaona SIAFU wengi wakaning' ta nkajikung' uta kisha nikaondoka wakat natembea nikakutana na MAMA mkwe
Sasa kumbe wakat nilikutana na siafu kuna zngne zilibakia mwlin
Wakati nimesimama na mama mkwe tunaongea ngafla nikaanza kusikia siafu ananing'ata huku chini kwa (kikojoleo)
Wenzangu acheni tyu hapa nilipo napata maumivu sema tu navumilia na sura imebadilika kama mnavyoona
Alaf mama mkwe nayeye maongezi yamekuwa mengi
Naombeni ushaur nisijetia aibu jamani naumia mwenzenu!
e58065b3446a6bfec119964bff3703c8.jpg
 
To all my committed friends I would want to wish you in ADVANCE a happy VALENTINE'S day. To all single ones happy INDEPENDENCE day. To all who were once in love happy HEROES day. To those who are fighting happy BOXING day. To those who are trying to make things work happy WORKERS day. Finally to those who are expecting surprise gifts like me happy FOOLS day
 
Back
Top Bottom