Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Shetani ANAWEZA KUNIPITIA
 

Attachments

  • IMG_20180212_211823_723.jpg
    45.3 KB · Views: 168
We jamaa bangi zitakupeleka mbali
 
Nipo kwenye kibao cha matangazo ya mechi za Leo.

Kibao kimeandikwa
SIMBA vs MAJIMAJI

Halafu nimemkuta Mzungu na yeye anasoma tangano.

Ili kumuonyesha Mzungu kuwa hata Mimi Ki-ingilishi nakijua nimemuuliza,

"DO YOU LIKE LION or WATER WATER"

Naona Mzungu anatabasabu. Nadhani atakuwa amenielewa vizuri.
 
sawa shemeji
 
[emoji115] [emoji115] Huyu mdada kutokana na nguo alizovaa na viatu, laiti kama akiinama chini kutumia mikono na miguu, unaweza kusema mbuzi mweusi amenenepa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
*Baada ya kwich kwich:*

*John* : Ahsante mpenzi nimefurahi sana.

*Marry* : Me pia nimefurahi..lakini kwa nini hukuniambia kuwa una gitaa ndogo!!

*John* : Sikukwambia kwa sababu sikujua kama ninge perform kwenye ukumbi mkubwa
[emoji3][emoji3]
 
Umejua kunichekesha
 
Wakati natoka Ijumaa, kufika home nikamuuliza mke wangu umeniombea dua gani leo, akajibu "Nimekuombea dua utembelee matako" nikampa kelb mixer vitasa vya maana hadi kupasuka mdomo, eti sahivi ndio ameniambia kuwa aliniombea nipate hela ninunue gari. Dah! Si angeongea hivyo tu![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
UTAFITI
Kwa mujiub wa utatiif liuofanywa na Prfosa. wa chou kiuuk cha Dodoam, haukna haaj ya kuwa na mpaiinglo kweney heruif katiak maneon. Cha mhuimu ni kuaw na mpaiinglo kweney ehrufi za mwazno au miwsho tu, zinazobaik zinaweaz kuchagnanyaw tu na zkaieleweka bila taub. Hii ni kwa sabaub ubogno wa mwanadaum huaw hausoim kila heruif, bali husoam maneon kwa ujmlau wake. Si umeona umeweza kusoma na kuelewa vizuri utafiti wa chuo chetu! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…