Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Kwenu wadada: Kuendelea kuweka picha za boyfriend wenu kwenye profile zenu whatsapp hakutuzuii sisi wanaume kuwatongoza, kwani hata hela za Tanzania zina picha ya Nyerere lakini hadi vyama vya upinzani wanatumia[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]