Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

haha hahahaha....
.Aiseeee
 
Ha hahahhaa.... daaaahh mamaee wallahi
 
Ngoja tukumbushie stori ya kaka jambadhi.

Abiria wa basi wakiwa safarini ghafla walitekwa na majambazi wenye silaha!
Baada kupekuliwa na kuvuliwa nguo zote majambazi wakawaamrisha wajamiiane yaani kila abiria amgeukie mwenzake na kumtafuna!
Katika siti ya watu wawili walikuwa wamekaa shoga na shehe!
Shehe akamwambia shoga sasa mi tajifanya kama naingiza lakini napitisha upande!
Walivyoanza tuu
Shoga akaita kwa nguvuuu
Kaka jambadhi huyu anaingiza pembeni
 
daah
 
Ushaai left group ukatami kurudi na huna link. Ni sawa na kwenda msalani alafu utoke kufika nje tena ukahisi kimba linabisha hodi na huna tp, Shida!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…