hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
haha hahahaha.........Juzi nilimnunulia wife vile vichupi vyenye Kamba(Bikini)
Basi unaambiwa kuna siku nimetoka zangu bar kupata Yale mambo ya kikubwa(beer), Ile nimefika home ilikua almost 5:30pm
Nikamkuta wife amelala kifudifudi huku amevaa kale kachupi!!
Basi acha nianze kucheka mpaka wife akaamka
Wife: Vipi baba anduje mbona unacheka?
Mimi: Acha tu mke wangu yaani tangu nizaliwe sijawahi ona matak** yamevaa ndala....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.Aiseeee