Tongozo la kiafande
SMS YA SAJENTI CHACHA KWENDA KWA KONSTEBO AISHA
DEAR unajua nakuthamini zaidi ya
RUSHWA na POSHO"! Bila ww, mm
siwezi kuishi, ni sawa na kukosa
BUNDUKI eneo la TUKIO! Nakuheshim
km ninavyo heshim RINDO! ww ni IGP
wa moyo wangu! Mbona upo
kimya,nina RB ya PENZI lako? Nijibu
nifungue jarada lako ndani ya moyo
wangu! Usiufanye moyo wangu
Ukaenda mbio kama DIFENDA mpya
ya POLICE. Nakuhakikishia Usalama
kama msafara wa RAIS! Usiniweke
ROHO juu km maandamano ya CHADEMA!........!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]