Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
- Thread starter
- #5,741
Mwalimu alileta ndoo mbili darasani, moja kajaza Maji Nyingine kajaza Beer
Alafu akamleta punda anywe.....
Punda akanusa zile ndoo zote na akaamua anywe yenye Maji,
Mwalimu sasa akawauliza
Mwalimu :mmejifunza nini ??
Wanafunzi: Yeyote asiekunywa beer ni punda
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]