Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

vichekesho_99-20181022-0001.jpeg
 
Kuna msela geto kwake alikuwa hapiki chakula anakula mgahawani akirudi anavuta bangi na kupiga miziki ya reggae mpaka asubuhi. Sasa panya waliopo ndani walizoea kusikia nyimbo za reggae na harufu ya bange.

Alipohama akaingia dada ambaye kila siku anapuliza room spray na kupiga mziki wa Taarabu.

Wale panya wote walifariki kutokana na ugumu wa maisha ya kusikiliza taarabu na harufu ya room spray.
 
Mwalimu kaniulizaa kama mtoto mdogo anaitwa mchanga... Je mtu mkubwa anaitwaje? ... Nikamjibu anaitwa kokoto..... Ameniitaa staff room labda atakuwa ameniitia chai

Huyu mwalimu ana roho nzuri sio kama mwl Msigwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Leo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

wala sijawahi vutaga bangi Mimi
Uko vizuri mkuu
 
Kama utakipenda kimoja njoo PM tuzungumze biashara
1. Freezer aina ya Boss Tsh250000. Haina mlango wa mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 15000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 12000/=, haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny umeme na kidude cha kuregulate moto kimeharbika..

4. Meza ya plastic Tsh 75000/= ina miguu 3 na mmoja mfupi kidg.

5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 25000/= ila vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne vimetoboka chini
6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei 34000
7.Flat scren bei 50000 kioo kimepasuka na haina rimot control na batan zime haribika fasta nichek [emoji41]
8.Simu aina ya Sumsung s7 edge 470000/= ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki, ni simu nzuri bora na ya kisasa!
9.Kamera aina ya sony mp 16 bei 62500/= haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki kama spea.
10.Bajaji aina ya tvs, bei 1400000/= haina matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na inadaiwa kodi ya miaka 2!

Karibuni, bidhaa ni nyingi sana, zipo za aina tofauti tofauti kama magari, ndege, treni, meli, maparashuti, vifaru, n.k vyote hivyo vikiwa katika hali mbaya sana, (ikumbukwe hizi ni toys za watoto zilizotumika huko uswahilini na kutupwa kwenye majalala)
dah nimekosa nguvu
 
Mara ghafla baba yako mzazi aliye kijijini anakupigia simu "hivi mdogo wako Mariam anaendeleaje? " unamjibu yuko vizuri tu Anaendelea vyema na Chuo..... (Baba anaamua kukupa angalizo) mwangalie sana mdogo wako asije akafanya mambo ya Amber Rutty.. 😂😂😂 Unagundua baba ameangalia...
 
Mara ghafla baba yako mzazi aliye kijijini anakupigia simu "hivi mdogo wako Mariam anaendeleaje? " unamjibu yuko vizuri tu Anaendelea vyema na Chuo..... (Baba anaamua kukupa angalizo) mwangalie sana mdogo wako asije akafanya mambo ya Amber Rutty.. [emoji23][emoji23][emoji23] Unagundua baba ameangalia...
Kwikwikwikwi unaa huu
 
Nyie mlionitakia heri na mafanikio katika mwaka mpya wa 2018 napenda kuwajulisha kwamba bado sijafanikiwa na siku ndio kama mnavyoziona zimebaki chache tu mwaka uishe!

kwahiyo mi niwaeleweje?
Walikosea kukutajia mwaka, wangekwambia tu mwaka ujao!
 
Nouma mzeee
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom