Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuna msela geto kwake alikuwa hapiki chakula anakula mgahawani akirudi anavuta bangi na kupiga miziki ya reggae mpaka asubuhi. Sasa panya waliopo ndani walizoea kusikia nyimbo za reggae na harufu ya bange.

Alipohama akaingia dada ambaye kila siku anapuliza room spray na kupiga mziki wa Taarabu.

Wale panya wote walifariki kutokana na ugumu wa maisha ya kusikiliza taarabu na harufu ya room spray.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Uko vizuri mkuu
 
dah nimekosa nguvu
 
Mara ghafla baba yako mzazi aliye kijijini anakupigia simu "hivi mdogo wako Mariam anaendeleaje? " unamjibu yuko vizuri tu Anaendelea vyema na Chuo..... (Baba anaamua kukupa angalizo) mwangalie sana mdogo wako asije akafanya mambo ya Amber Rutty.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unagundua baba ameangalia...
 
Kwikwikwikwi unaa huu
 
Nyie mlionitakia heri na mafanikio katika mwaka mpya wa 2018 napenda kuwajulisha kwamba bado sijafanikiwa na siku ndio kama mnavyoziona zimebaki chache tu mwaka uishe!

kwahiyo mi niwaeleweje?
Walikosea kukutajia mwaka, wangekwambia tu mwaka ujao!
 
Nouma mzeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…