Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

hahaha [emoji28][emoji28]
 
Hakuna mtu mwenye tabu huku ulimwenguni kama mwafrika, lakini pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa hapumziki, anatakiwa tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wake.

Afrika tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umetoka kazini umeingia geto umechoka unafunga kitasa ufunguo unatupa kitandani, ghafla unaona nyoka kitandani unajifanya nunda unachukua fimbo nyuma ya mlango ili umtembezee kichapo,unapiga fimbo ya kwanza anakwepa unataka kumpiga fimbo ya pili umeme unakatika.
Hapo ndo utajua maana halisi ya RUDI NYUMBANI KUMENOGA.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mind your business [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Maweeee
 
*Bangi nimeacha tangu siku nimevuta nikakutana na wajeda, nikawaita wanamgambo, ile nashituka niko hospital, mama anamwambi dada, mpozee uji kaamka, nikamuuliza, nimejifungua mtoto gani, bi mkubwa akazimia. Nkaapa sitavuta bangi tena*[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787]
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Leo mchana kwa stage(stendi) ya magari, demu flani akaja na kuingia kwenye daladala na konda alikua ndani pekee yake......

Konda: hai Bebi, ,,,,,,
Dem: poa sana niambie,,,,,
Konda: hai bebi, ,,,,
Dem : hey! Shit! !!!! Unanisalamia mara ngapi wewe......
Konda: mafeelings pelekea Sponsor. .... nimekuambia hii gari
"haibebi"
 
ha ha haaaaaaaa
daaaaah hatariiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…