Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

T[emoji769]
 
Mliozaliwa Siku Kama Ya Leo, Basi Mtakuwa Mmezaliwa Siku Moja Na Mwanamuziki wa Uingereza Elton John... Hii Ni Taarifa Tu Wakuu Msije Mkarusha Ngumi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Imagine umemsaidia msichana mzuri kubadilisha tairi ya gari yake. Siku nyingine unakutana nae unakosa story mpaka unamuuliza tairi linaendeleaje?* [emoji38][emoji38][emoji38]
 
*NIKO porini hapa Rafiki yangu ameng'atwa na NYOKA kichwani,nimemfunga kamba shingoni ili SUMU isisambae mwilini baada ya kurusha rusha mateke na ngumi sasa ametulia katoa macho tuu.........* *NADHANI SUMU NDIO INAISHIA SASA..*

[emoji23][emoji23]
😨😨😨shubamiiiiiiit. Mfukie wanyama wasiskie harufu wakawatafuna maana simu ya nyoka mwilini ni kama chachandu porini 😆😆😆.
 
Kweli maisha hayako fair
Age15.:nataka kuwa Doctor bingwa. Form 4 unapata yai. Unajipongeza sio issue mi mwenyewe fighter nitatoboa tu
Age22.:unamiliki kabodaboda, nataka niwe kama mengi. Unaishia kuwa na watoto wa nje ya ndoa nyomi.
Age32: unawaza jinsi yakumpa sound maza hause. Vyuma mzee baba🔧🔩
Age39 and above...................ndio anaejua
 
Duuuh! Itakuwa mbaya, kha eti [emoji867]kabisaaaaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…