Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Itakuwa unapelekwa kolomije secondary school ukaanze form one maana hesabu yao umeikosea(serious) kuisolve!
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama demu wako hatikisiki kalio wakati anapiga mswaki basi jua huyo ni msela mwenzako[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nipo chooni, mtu amegonga mlango nikaguna mmmmmmmhhhhh! Akauliza kuna mtu, nimemjibu hapana unaongea na Mavi[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*binafsi hua namuogopa sana mwanamke ambae haombi ela* *hua simuelewi anataka nini* *kwasababu akisema anataka mapenzi tu najua uongo*

*ni sawa na shetani akwambie bwana yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie amen au ukemee*

Omba hela sitakagi ujinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nililala nyumba ndogo, nimerudi nyumbani moja asubuhi, Nikamkuta wife kajawa na hasira , Nikajua ndoa yangu umefikia mwisho, Nikaamua kuongea ukweli (NILILALA KWA MCHEPUKO MKE WANGU) Kacheka saaana[emoji23][emoji23][emoji23]... alafu akaniambia , Wewe acha kunidanganya, unadhani mimi mjinga? Unajua sijui kuwa leo ni siku ya WAJINGA Duniani? Nikamrukukia na bonge la busu, Wanawake akili zao wanazijua wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nime miss rafiki yangu bingwa wa rivasi.

Tangu malaria nilikuwa na dispensari hapa ndio nipo na kucheki, nimekwenda dawa kuchukua Ijumaa kugundulika Gongolamboto, ili nimeze daktari baada.

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yule bingwa wa rivasi ilikuwa kwenye gazeti gani vilee[emoji38] [emoji38] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…