Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Du unakaa jalala kumbe
 
SHEMEJI LAMBA HARAKA TUMALIZE NATAKA NIKAOGE, Jamaa kusikia vile akavunja mlango kwa hasira na kuingia ndani, kakuta mkewe na ndugu yake WANACHEZA KARATA"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu nomaa asee!
 
Nenda kapokee barua ya lidandas[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] unaleta[emoji481] [emoji481] zako kazini
kwa kweli nimeambiwa eti nipishe uchunguzi sijui wanaenda kunichunguza akili muhimbili.
 
kwa kweli nimeambiwa eti nipishe uchunguzi sijui wanaenda kunichunguza akili muhimbili.
Itakuwa wanakwenda kukuchunguza nyumbani kwako, kama unakula mlenda au dagaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Breaking news
Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana na kufanya tukio lisilojulikana na kutokomea pasipojulikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mm nnachokisema bado hakijajulikana....

Bangi siachii....
 
Mwanaume anaenyanyua mkono wake kumpiga mwanamke, Ujue hakuwahi kunyosha mkono darasani kujibu swali, alipokuwa shule[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
 

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]kitambi kimeokotwa mwenye nacho aje achukuee km shida wote tunazooo......msituletee upuuzi WA kutupa vitu hovyo.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]kitambi kimeokotwa mwenye nacho aje achukuee km shida wote tunazooo......msituletee upuuzi WA kutupa vitu hovyo.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Eti nyie mnasema bangi mbaya mm nimevuta
pafu mbili saiv nko apa kituo cha [HASHTAG]#polis[/HASHTAG] na [HASHTAG]#mpenzi[/HASHTAG] wangu naulizia chumba
 
MKE: Una mpango gani na Pasaka hii, mume wangu?
MUME: Nitafanya kama Yesu...
MKE: Una maanisha nini???
MUME: Nitaondoka Ijumaa na kurudi Jumatatu...
MKE: Unanishangaza!... Kama utafanya hivyo, nami nitafanya kama Maria...
MUME: Unamaanisha nini?
MKE: Nitapata mimba bila ya kuingiliwa na wewe mume wangu...


Mume yuko hospitali, haongei hadi sasa, anapumulia gesi!...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*MVULANA AMNYONYA MATITI MSICHANA KANISANI*




Nilikuwa kanisani, kuna mvulana na msichana walikaa jirani na mimi.Nikapigwa na butwaa kuona msichana anavuta blauzi yake na baadae sidiria na mvulana kuanza kunyonya chuchu utadhani hakuna watu waliokuwa wanawatazama,msichana alikuwa na miaka 28 na mvulana miezi 3.

Ahsante kwa kusoma, (Mungu akusamehe kwa mawazo yako machafu)


Nipo nyumbani,njoo unipige!!



_akili zangu bhana dah_
 
Niko Bar nimekaa peke yangu mezani wakat meza zingine zote zina mtu na demu wake. Sasa nimejidai napiga simu
*Hallo namuona mke wako yuko na mwanaume hapa bar wanakunywa pombe pamoja*
Kwa sauti kila mtu anasikia,
Mara wale wadada wote wamekimbia tumebaki tunangaliana wanaume wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cwez kaa mwenyewe mm.
 
Polisi amesimamisha taxi akauliza, dereva mbn number za mbele haifanani na za nyuma? Dereva akamjib... Wewe kwani uso wako unafanana na matako yako? 2mecheeeka sana!! Katupakia kwenye defender nadhani anaenda kutupa ofa ya bia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…