Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kwenye Group la Whatsapp la tuliomaliza pamoa O-level tuliamua kuulizana tunapofanya kazi;

Wa kwanza: Ninafanya kazi kwenye kiwanda cha vinywaji.
Wa pili: Ninafanya kazi kwenye bank maarufu nchini.
Wa tatu: ninafanya kazi kwenye kampuni maarufu ya mawasiliano Africa.

Baada ya kutafakari nikaona huu sasa ujinga, kila mtu anafanya kazi kwenye kampuni ya maana. Nikatext,

I am working at The Aqua-Thermal Treatment Plant of Ceramics, Aluminium and Steel under constrained environment.

Pumbavu zao, Kumbe nafanya kazi ya kuosha vyombo kwa maji ya moto chini ya usimamizi wa wife.

Mimi ndio Mhaya bwana, sikosagi la kujisifia.
 
Money is evil
Jamaa mmoja karudi mapema kutoka Kazini mpole!
MKEWE: Vipi leo mbona mapema na mpole hivyo?
MUME: Ofisi yetu imeungua Moto na watu wote wamekufa.
MKEWE: Sasa ilikuwaje wewe ukapona?
MUME: Nilikuwa chooni, nje kidogo na ofisi.
MKEWE: Loh maskini familia zao zitakuwaje?
MUME: Watalipwa milioni 200 kila mfiwa.
MKEWE: Akahamaki kwa hasira, "Ona sasa kunyakunya kwako ovyo umetukosesha mihela yote!!
Hebu rudi huko kabla moto haujazimika!....[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125]
 
Mwenyewe kasema "acha nikae kimya" wewe unamchokoza. Haya bwana.
 
Yoo mbavu zangu jamani....
Wewe freyzem ni genius. Japo ni SAA 10 alfajir nimecheka balaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkurya kapakia trei za mayai kama 25 kwenye baskeli anatoka Gongo la mboto kufika tazara Trafiki kamsimamisha na kuanza kumuuliza;
Polisi: Umebeba nini?
Mkurya: Mayai Mraaa
Polisi: Mayai ya nani?
Mkurya: Ya kuku Mraaa
Polisi: Yanatoka wapi?
Mkurya: Mraaa, mkunduni kwake mraaa

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Polisi kaishiwa pozi ikabidi tu amuachie[emoji38] [emoji38] [emoji38]


Wakati mwingine bangi zinasidia[emoji34] [emoji34]
 
Duh kweli hali ngumu..
Jana nlikuwa zangu napita pta kwenye wodi za wagonjwa..nkamkuta mzee mmoja anamwambia mtoto wake alyekuwa yuko hoi"na usijarbu kufa hujui hatuna pesa ya mazshi..
Kweli ankoo umetsha[emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Usiwe na stress, we endelea kutulia kwenye huu uzi ukilisubiri hapo hotelin mpaka lirudi, urudi dar ukaanze safari upya!...
Nadhani hata abiria wote waliokwenye hilo basi wametulia kwa huu uzi, wakitoa stress huku wakivunja mbavu,[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengi watapitiliza vituo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…