Hahhahaaa stress zimeisha ngoja niingie kitaa kupiga pesa.Nimecheka kwa sauti [emoji23]
Umeonaeeee!! [emoji23]Hahhahaaa stress zimeisha ngoja niingie kitaa kupiga pesa.
KIINGEREZA NI WITO JAMANI NYIEEE!!
Kuna jamaa flan alikuwa anauza mbuzi za kukuna nazi, yaani vibao vya kukuna nazi ghafla mzungu akapita!
Mzungu: Jambo...
Jamaa: Jambo...
Mzungu: what is this my friend...?
Jamaa: this is goat for kwarukwaru coconut...not goat meee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ni zaidi ya mpuuzi.Hivi ushawahi kumpenda msichana hadi mkiwa church unamlipia SADAKA..............Unaweka kwenye kikapu alafu unamwampia mchungaji kwa ishara kwa ishara ya vidole uliyotoa nia YA WAWILI????
Ikifikia hatua hii basi ujue kazi ya moyo ni kusukuma CHAPATIπππππππ
Yalishanipata haya, kweli maisha ni safari ndefu.[emoji12][emoji12][emoji12]
Ile umetoka zako kupiga module unataka urudi geto ujipumzishe hata kidogo........ Ile unafika karibia getoh xmx inangia nipo na shemeji yako...... So chelewa kidogo... [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kama nakuona vile ulivyomind..................
NB
kuishi chumba kimoja wanaume wawili halafu wote wazima inahitaji ufungue moyoo