Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

17932175_805350236283478_1315910222090338304_n.jpg
17882687_1734212583542321_514745125981650944_n.jpg
 
UTAFITI MDOGO NILIO UFANYA UNA ONYESHA PASAKA AITOKUA IME CHANGAMKA SANA COZ IME ANGUKIA TAREHE AMBAZO ATM CARD HAINA TOFAUTI NA CARD YA KUPIGIA KURA.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

HAPPY EASTER
 
Pale unambiwa mbona unakuwa kama bashite, unauliza ndo nini, wanakujibu wewe ni zero tu huna maana yeyote...hata mpaka sahivi sijapata jibu au mimi ni mtu maarufu sana duniani?
 
Hivi ushawahi kumpenda msichana hadi mkiwa church unamlipia SADAKA..............Unaweka kwenye kikapu alafu unamwampia mchungaji kwa ishara kwa ishara ya vidole uliyotoa nia YA WAWILI????
Ikifikia hatua hii basi ujue kazi ya moyo ni kusukuma CHAPATI🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Chali Hatar
Ktk shule moja jijin MWANZA kulikuwa na test,kwenye huo mtihani kuna mwanafunz hajielew kwenye mtihan wa hesabu alikuta swali hivyo akafanya hivi:
9*2=1
9*3=2
9*4=3
9*5=4
9*6=5
9*7=6
9*8=7
9*9=8
unajua alifanyaje anza kuandika moja kuanzia chin kwenda juu halafu [HASHTAG]#LIKE[/HASHTAG]
[emoji53][emoji53]
 
[emoji12][emoji12][emoji12]
Ile umetoka zako kupiga module unataka urudi geto ujipumzishe hata kidogo........ Ile unafika karibia getoh xmx inangia nipo na shemeji yako...... So chelewa kidogo... [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kama nakuona vile ulivyomind..................

NB
kuishi chumba kimoja wanaume wawili halafu wote wazima inahitaji ufungue moyoo
 
KIINGEREZA NI WITO JAMANI NYIEEE!!
Kuna jamaa flan alikuwa anauza mbuzi za kukuna nazi, yaani vibao vya kukuna nazi ghafla mzungu akapita!
Mzungu: Jambo...
Jamaa: Jambo...
Mzungu: what is this my friend...?
Jamaa: this is goat for kwarukwaru coconut...not goat meee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaa
 
[emoji124][emoji124][emoji124] UKITAKA MWANAUME ALE VISIVYOLIWA MWAMBIE TU KINAONGEZA NGUVU ZA KIUME[emoji3][emoji3]

[emoji125]‍♀[emoji125]‍♀[emoji125]‍♀ UKITAKA MWANAMKE AFANYE LOLOTE MWAMBIE NI TIBA YA KUMTULIZA MUMEWE ASICHEPUKE[emoji3][emoji3]

Kweli mola alituumba kwa kubalance[emoji120]
 
[emoji12][emoji12][emoji12]
Ile umetoka zako kupiga module unataka urudi geto ujipumzishe hata kidogo........ Ile unafika karibia getoh xmx inangia nipo na shemeji yako...... So chelewa kidogo... [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kama nakuona vile ulivyomind..................

NB
kuishi chumba kimoja wanaume wawili halafu wote wazima inahitaji ufungue moyoo
Yalishanipata haya, kweli maisha ni safari ndefu.
 
Back
Top Bottom