Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwiko
 
Leo nimechoka zangu alafu shangazi
amekuja anataka nimuunganishe [HASHTAG]#facebook[/HASHTAG] . Imebidi nimwambie
lazima awe na picha [HASHTAG]#passport[/HASHTAG] size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua
kutoka kwa afisa mtendaji na Atm card ya
nmb bank. Alafu awe na marefa wanne
ambao wamekuwa facebook for more than 3
years. Amesema hataki tena kujiunga fb! *Saa ivi niko zangu nimelala naendelea
kupunguza uchovu*
 
Leo baba mwenye nyumba alikuja nyumban kwangu mazungumzo yakawa hivi…
Baba: habari za leo kijana
Mimi:safi mzee shikamoo
Baba: marhaba, kijana mbona tarehe zishapita naona kimya
Mimi: vipi uzioni siku zako?

Saivi anatoa vyombo vyangu nje naisi ananisaidia kufanya usafi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mgeni wa mwendokasi wee
 
Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kuomba dem wangu aniazime 10,000/= akanipa.
Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba na nilimwambia hiyo afanyie mambo yake madogonadogo.
Baada ya siku 3 akaja kuniambia "Bae, ile 10,000/- niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3.
SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEM MWINGINE[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…