Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kwa wanaume woooootee...

Ukipanda bus/ daladala na pembeni yako akaketi dada mrembo, hata akikutabasamia vip wewe kula wambuzi tu mpaka ulipe nauli.

Ukishalipa kuwa free sasa cheka vizur na mwenzako maana kupendana ni jambo la kheri..

Maisha magumu sana.
 
Hiyo post ni kwaajili ya under 18 maana mimi nikiwa na stress hua nafurahishwa na kucheki soka na kupata Dili jipya
 
Leo nilienda kuazima chaji kwa jirani ..sikumkuta ..nilimkuta mwanae
Nikamtumia meseji ili atoe ruhusa nichukue
Akanijibu *21002*
Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya.
Akaniambia nimesema TUMIA TU

[emoji23][emoji23]mtatuua na lugha zenu[emoji12]
 
Mmmmmm, nimebaki naitafakari namba maana hisabati ni damu damu, kumbe maana yake ilikuwepo mwishoni.

Hapo najiuliza kwanini chips hazina ukoko.
 
Kuishi Kijijini Inabidi Uwe Mvumilivu... Unaenda Kuoga Unakumbuka Umesaau
Sabuni Unaenda Kuchukua Unarudi Bafuni Unakuta Ng'ombe Kanywa Maji Yote Unaenda Kuchukua Maji Mengine Ile Kurudi Unakuta Mbuzi Kala Sabuni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Makubwa mbona madogo yana nafuu !!!!
 
Kweli uvivu ni kipaji
MTOTO:Baba naomba hio glass
BABA:Njo uchukue mwenyewe
MTOTO:Baba bwana naomba niletee tu
BABA:Halafu wewe mtoto unajua nitakuja nikupige
MTOTO:Basi ukija kunipiga njoo nayo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namba 7
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
_Wivu ukizidi.._

_Guy: babe Uko wapi?_

_Babe: nipo church luv!!_

_Guy: mpe Yesu Simu......._ ..[emoji15][emoji15][emoji849][emoji849][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ewe msichana ambaye maziwa yako yamenyonywa na wanaume zaidi ya 10 basi haupaswi kusema ni maziwa yako tena ila ni COWBELL,OUR MILK narudiaa tena OUR MILK OUR MILK
[HASHTAG]#Ashakhum[/HASHTAG] si matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…