Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

kicheko nilicho kiachia,nimisha sahau kama taifa lipo kwenye mazishi ya madawa ya kulevya
 
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali sana
 
Nikalale zangu
Mwenye nyumba hapa kaja kunidai hela yake nikamweleza sina hiyo hela kwa sasa anivumilie baada siku mbili tatu, akanuna kwani anadaiwa vikoba,
Ile naingia ndani nikafungua huu uzi nikaachia cheko la maana

Saaa hii naona anaandika kikaratasi chekundu na dalali wangu sijui ananiandikia risiti
 
Nimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua ink pen nikajaza 16W²D² ,, sahiii niko kwa Landrover yao nadhani wananipeleka university kufundisha hesabu[emoji28][emoji28][emoji28]

[HASHTAG]#zotekalikinoma[/HASHTAG]!!
 
Mkuu kweli hapo wangeongea tu
 
Girls wote ambao mnapiga pic na handbag[emoji162] kama mnatoka flani hivi na kumbe upo hom na huna ishu[emoji126] mixer kujipodoa[emoji168][emoji182] after pic mnarud ndani kuvaa t-shirt na kanga mkiendelea na majukum ya hom ikiwemo kuchochea maharage[emoji33]
NAWASALIMIA...[emoji112][emoji112][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah lakini hizi mimba hua zinatunyosha
unakuta mwanamke wako ana mimba, na mmeshinda poa 2 mchana mzima, ikifika usiku kitu ka saa sita ivi anakuamsha,
"Bebi nipeleke petrol station niende kunusa petroli"
Mke wangu kwani unazaa Boda boda????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…