dume la kenge
Senior Member
- Apr 12, 2017
- 177
- 240
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Kuna watu wana mambo ya ajabu sana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa kachora tatoo ya kwenye dushe, likisinyaa inasomeka AIDS, dushe likinyanyuka inasomeka ADIDAS[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli [emoji377] [emoji377] mbaya
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Niliingia kwenye choo cha uma mahali fulani, wakati naendelea na kukata gogo, nikasikia sauti kwenye choo cha jirani yangu akisema " halo, mambo vipi", kwa sauti ya kukereka nikajibu "niko poa" naye akaendelea kuongea "unafanya nini? Nikajibu "nafanya kile unachokifanya wewe", akaendelea "naweza kuja hapo", kwa hasira nikajibu "hapana, usije nipo bize sana kwa sasa" sauti hiyo ya choo cha jirani yangu ikasema "mshikaji ee nitakupigia baadaye, kuna mpuuzi mmoja mlango unaofuata anajibu maswali yangu yote, hatuelewani,,,,, hapo ndipo utakapojua kiherehere maana yake nini
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Sasa Hivi Hata Yale Magari Ya Kuvuta Mavi Wanalia Njaa, Wanasema Biashara Ngumu.
Na Ukiangalia Ni Kweli Kwa Sababu Mtu Anakula Chips Kavu Na Soda; Ni Lini Choo Kitajaa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaaahh, Bashite anapeta tu.Matokeo kidato cha nne, div 1 moja, div 2 moja , div 3 Na 4 hakuna, sifuri 200.
Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli
Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbavu zangu!Jamaa aliingia msikitini akiwa kashika panga huku jasho likimtoka,akasema"nani muislamu humu?"wote wakauchuna.Akarudia tena"nauliza nani muislamu humu hamnisikii?"wote kimya.Akamgeukia Imamu"wewe sio muislamu?"...Imamu:aaaaah jamani kukaa mbele tu hapa ndo nimeshakuwa muislamu?"...Akamshika mkono muumini mmoja aliyekuwa karibu na mlango akamtoa nje,akamwambia "naomba ukanichinjie mbuzi nyumbani nina wageni leo waislamu"....jamaa akaenda akamchinjia halaf akamwambia"ila utaalamu wa kuchuna ngozi sina labda ukamchukue mwenzangu"....jamaa ikabidi arudi msikitini huku panga linavuja damu....Imamu kuona vile akasema"tumsifu Yesu kristo"...waumini wakaitikia"milele amina!!"
mkuu kashida kapoo...therad ndo kitu gani aiseehii ni STRESS FREE therad aisee
Sababu ya ma stress mkuu, hata mwandiko lazima uharibikemkuu kashida kapoo...therad ndo kitu gani aisee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]Matokeo kidato cha nne, div 1 moja, div 2 moja , div 3 Na 4 hakuna, sifuri 200.
Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli
Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya[emoji125][emoji125][emoji125]
Bora kule kwa jk .t. ⚜ *WABUNGE GROUP* ⚜
TODAY
Ndungai added Tulia
Ndungai added Jenista
Tulia: Habari za muda waheshimiwa. [emoji7][emoji7]
Goodluck Milinga: Nakuona tu Tulia ulivyo tulia. [emoji68][emoji310]
Ester Bulaya: We milinga (mpunga [emoji264] wa Ulanga ) acha uboya hilo ndo jibu la salamu?
Goodluck Milinga: Rudi CCM kichwa panzi [emoji218]wewe, huko washakuharibu akili.
Kigwangala: Jamani mbona mnarushiana maneno hivyo? Kuweni watu wazima basi.
Halima Mdee: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Kigwa boy, vunga hakuna lugha mbovu hapo, kwanza vipi wale mashoga [emoji129] umewasahau majina yao si ulisema utawataja?
Bashe added Nape
Pole pole: Nani kamuadd huyu mamluki? [emoji379]
Tundu Lissu: Heeeee![emoji15] Huyu pole pole kafata nini humu? Kwan naye ni mbunge mbona mnatuletea watu hatuwaelewi elewi . Hivi admin sheria za grup na mlengo wake hauufahamu? Naomba sheria na kanuni zetu zizingatiwe.
Pole pole: Kausha we jamaa sio mahakamani hapa. [emoji57]
Makonda: Pole pole, dogo janja wangu safi sana mchane huyo jamaa anajifanya mjuaji. Akachunge ng'ombe na mamvi wao
Musukuma removed Pole Pole
Musukuma removed Makonda
Angela Kairuki: Eeheee wenye viherehere vyao, kwani umeombwa uwaremove?
Nchemba added Makonda
Nchema added Pole pole
Bashe removed Makonda
Ndungai: Waheshimiwa naombeni tusiwe na chuki [emoji174] kiasi hiko tupendane [emoji173] jamani sisi sote ni watanzania.
Halima Mdee: Nakuona tu kubwa la maadui umeanza kuwa na busara siku hizi. Halaf nan anawarudisha hawa maccm? [emoji196]
Nchemba left
Pole pole left
Bwege: Bora wameleft hawa ndo wanasababisha hata bunge la bajeti lisiwe na kiki mjini.
Tulia: Hili grup siliwezi mie naenda zangu hotel [emoji544] kupumzika
Tulia left
Mbowe: Kapumzike tu mama [emoji112][emoji112], hili grup huliwezi kama una roho nyepesi... By the way Halima nakuomba ofisi ya kambi rasmi ya upinzani sasa hivi.
Bashe added Joshua Nassari
Bashe added Mnyika
Bashe added Msigwa
Bashe: Majembe hayo
Ndungai left
Bwege: Spika katoka nduki za Harmorapa
Jenista: yoyoooo hadi mheshimiwa nae kakushoto
Serukamba: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]
Mwakyembe: Hivi wewe Bashe ni chama gani, Mbona hueleweki?
Bashe: CHAUMA
Mbowe: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sugu: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Prof Tibaijuka: Halooo inahuuuuu......
Ummi Mwalimu: [emoji15][emoji15][emoji15] bibi Tiba vepeee mbona haloooo za ki hadija kopa [emoji57][emoji57][emoji57]
Msigwa: Amen Bashe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ester Bulaya: Bashe siku hizi unawaweza hawa magamba [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Bashe: Halafu nyie ccm msinizoee sana [emoji57] mshanikoroga kwanza ntaenda hata kwenye chama cha mzee Rungwe Spunda [emoji318]
January Makamba: Nenda tu Bashe kwani unadhani huku ndo tunakuhitaji wewe, kwa lipi kubwa ulilonalo? Hizi siasa umezikuta so ziache kama zilivyo.... Si umemuona shangazi yako Sophia Simba
Msigwa: [emoji23][emoji23][emoji23] acha wamzingue tulichukue jembe hilo
Lema: Bashe achana nao hao wakaanga sumu, njoo huku kwenye harakati za kweli
Mwakyembe added Makonda
Nape: Mmmh nini hii tena? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Makonda added JPM
Mbowe: maaaweee Yesu na Maria [emoji24][emoji24][emoji24]
Mbowe left
Nassari left
Lema left
Tundu Lissu left
Halima mdee left
Ester Bulaya left
Msigwa left
Makonda: Duh!!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Bashe: *Utashanga sana mwaka huu na bado* [emoji57][emoji57][emoji57]
Bashe left
Jenista left
Kigwangala left
Serukamba left
Bwege left
JPM: Mbona mnaleft waheshimiwa
Nape left
Makonda: Hawa ndo wanaozuia tusifikie uchumi wa viwanda.
JPM: Hivi ule mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi [emoji539][emoji548] kule kinondoni unaendeleaje?
Makonda: Mkandarasi [emoji62][emoji62]♀ ameshaanza kazi, tunasubiri mwezi ujao tukakague kujua maendeleo.
JPM: Safi sana, mie napenda watu wanaopiga kazi sio hao wapiga kelele wauza madawa na wataondoka wote mie ni dereva nisiesikia kelele za abiria
Musukuma left
You: *Nilisahau vyeti vyangu kwenye viunga vya bunge kuna alieviona?*
Mwakyembe left
JPM: Huyu ni nani anaeulizia vyeti humu?
Makonda removed you
Makonda removed Magu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora kule kwa jk .t
Never happen ....[emoji9] [emoji9]Makonda removed Magu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nn hicho ww[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hii ni STRESS FREE therad aisee