Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kuna watu wana mambo ya ajabu sana[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa kachora tatoo ya kwenye dushe, likisinyaa inasomeka AIDS, dushe likinyanyuka inasomeka ADIDAS[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli [emoji377] [emoji377] mbaya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]
 
Matokeo kidato cha nne, div 1 moja, div 2 moja , div 3 Na 4 hakuna, sifuri 200.
Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli
Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya[emoji125][emoji125][emoji125]
 
We Bado unalalamikia
Et Maisha magum
mala usawa wa magu
Wenzako Tulilijua Hilo mapemaaa
Kuwa maisha yatakujag kuwa magumu ndo maana si Tuliamua kuachana namaisha
Tukaamua kujikita kwenye mish zngne kabsaa[emoji119]


Ndugu zang mso penda ujinga
Tuvumiliane
[emoji124] [emoji124]
 
Matokeo kidato cha nne, div 1 moja, div 2 moja , div 3 Na 4 hakuna, sifuri 200.
Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli
Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Niliingia kwenye choo cha uma mahali fulani, wakati naendelea na kukata gogo, nikasikia sauti kwenye choo cha jirani yangu akisema " halo, mambo vipi", kwa sauti ya kukereka nikajibu "niko poa" naye akaendelea kuongea "unafanya nini? Nikajibu "nafanya kile unachokifanya wewe", akaendelea "naweza kuja hapo", kwa hasira nikajibu "hapana, usije nipo bize sana kwa sasa" sauti hiyo ya choo cha jirani yangu ikasema "mshikaji ee nitakupigia baadaye, kuna mpuuzi mmoja mlango unaofuata anajibu maswali yangu yote, hatuelewani,,,,, hapo ndipo utakapojua kiherehere maana yake nini
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Nimecheeeeeka kwa kiherehere pia
 
Sasa Hivi Hata Yale Magari Ya Kuvuta Mavi Wanalia Njaa, Wanasema Biashara Ngumu.
Na Ukiangalia Ni Kweli Kwa Sababu Mtu Anakula Chips Kavu Na Soda; Ni Lini Choo Kitajaa?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Matokeo kidato cha nne, div 1 moja, div 2 moja , div 3 Na 4 hakuna, sifuri 200.
Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli
Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya[emoji125][emoji125][emoji125]
Daaaaahh, Bashite anapeta tu.
 
Jamaa aliingia msikitini akiwa kashika panga huku jasho likimtoka,akasema"nani muislamu humu?"wote wakauchuna.Akarudia tena"nauliza nani muislamu humu hamnisikii?"wote kimya.Akamgeukia Imamu"wewe sio muislamu?"...Imamu:aaaaah jamani kukaa mbele tu hapa ndo nimeshakuwa muislamu?"...Akamshika mkono muumini mmoja aliyekuwa karibu na mlango akamtoa nje,akamwambia "naomba ukanichinjie mbuzi nyumbani nina wageni leo waislamu"....jamaa akaenda akamchinjia halaf akamwambia"ila utaalamu wa kuchuna ngozi sina labda ukamchukue mwenzangu"....jamaa ikabidi arudi msikitini huku panga linavuja damu....Imamu kuona vile akasema"tumsifu Yesu kristo"...waumini wakaitikia"milele amina!!"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbavu zangu!
 
Watoto nao kwa kuropoka.... Mgeni kauliza "mbona paka wenu ananiangalia sana ninavyokula?" Mtoto akaropoka "labda kwasababu wamekupakulia kwenye SAHANI yake!". ungekuwa ww ndio mgeni ungefanyaje??????????
 
BREAKING NEWZZ!!!

SERIKALI YATANGAZA NEEMA KWA WAFANYAKAZI SIKU CHACHE KABLA YA MEI MOSI.

Raisi atangaza ongezeko la mshahara kwa asilimia 45% kwa wafanyakazi wa sekta zote nchini ambapo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi ongezeko hilo litatokana na mikataba waliowekeana na waajiri wao.

Ongezeko hilo ambalo ni kubwa ambalo halijawahi kutokea katika historia limelenga zaidi kwa wafanyakazi wote wa wote haswa wafanyakazi wa serikali. Hatua hii ni katika kutaka kuboresha maisha ya wananchi kwa ujumla.

Akiongea na waandishi wa habari raisi amesema anajiskia faraja kuona sasa maisha ya mfanyakazi yataboreka kuliko kipindi kingine chochote haswa wananchi wa pato la chini. Hata hivyo raisi huyo wa Brazil akutangaza ni lini ongezeko hilo litaanza ila ameahidi kuanza haraka iwezekanavyo.
 
Matokeo kidato cha nne, div 1 moja, div 2 moja , div 3 Na 4 hakuna, sifuri 200.
Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli
Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
 
. ⚜ *WABUNGE GROUP* ⚜

TODAY
Ndungai added Tulia

Ndungai added Jenista

Tulia: Habari za muda waheshimiwa. [emoji7][emoji7]

Goodluck Milinga: Nakuona tu Tulia ulivyo tulia. [emoji68]‍[emoji310]

Ester Bulaya: We milinga (mpunga [emoji264] wa Ulanga ) acha uboya hilo ndo jibu la salamu?

Goodluck Milinga: Rudi CCM kichwa panzi [emoji218]wewe, huko washakuharibu akili.

Kigwangala: Jamani mbona mnarushiana maneno hivyo? Kuweni watu wazima basi.

Halima Mdee: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Kigwa boy, vunga hakuna lugha mbovu hapo, kwanza vipi wale mashoga [emoji129] umewasahau majina yao si ulisema utawataja?

Bashe added Nape

Pole pole: Nani kamuadd huyu mamluki? [emoji379]

Tundu Lissu: Heeeee![emoji15] Huyu pole pole kafata nini humu? Kwan naye ni mbunge mbona mnatuletea watu hatuwaelewi elewi . Hivi admin sheria za grup na mlengo wake hauufahamu? Naomba sheria na kanuni zetu zizingatiwe.

Pole pole: Kausha we jamaa sio mahakamani hapa. [emoji57]

Makonda: Pole pole, dogo janja wangu safi sana mchane huyo jamaa anajifanya mjuaji. Akachunge ng'ombe na mamvi wao

Musukuma removed Pole Pole

Musukuma removed Makonda

Angela Kairuki: Eeheee wenye viherehere vyao, kwani umeombwa uwaremove?

Nchemba added Makonda

Nchema added Pole pole

Bashe removed Makonda

Ndungai: Waheshimiwa naombeni tusiwe na chuki [emoji174] kiasi hiko tupendane [emoji173] jamani sisi sote ni watanzania.

Halima Mdee: Nakuona tu kubwa la maadui umeanza kuwa na busara siku hizi. Halaf nan anawarudisha hawa maccm? [emoji196]

Nchemba left

Pole pole left

Bwege: Bora wameleft hawa ndo wanasababisha hata bunge la bajeti lisiwe na kiki mjini.

Tulia: Hili grup siliwezi mie naenda zangu hotel [emoji544] kupumzika

Tulia left

Mbowe: Kapumzike tu mama [emoji112][emoji112], hili grup huliwezi kama una roho nyepesi... By the way Halima nakuomba ofisi ya kambi rasmi ya upinzani sasa hivi.

Bashe added Joshua Nassari

Bashe added Mnyika

Bashe added Msigwa

Bashe: Majembe hayo

Ndungai left

Bwege: Spika katoka nduki za Harmorapa

Jenista: yoyoooo hadi mheshimiwa nae kakushoto

Serukamba: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]

Mwakyembe: Hivi wewe Bashe ni chama gani, Mbona hueleweki?

Bashe: CHAUMA

Mbowe: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sugu: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Prof Tibaijuka: Halooo inahuuuuu......

Ummi Mwalimu: [emoji15][emoji15][emoji15] bibi Tiba vepeee mbona haloooo za ki hadija kopa [emoji57][emoji57][emoji57]

Msigwa: Amen Bashe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Ester Bulaya: Bashe siku hizi unawaweza hawa magamba [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Bashe: Halafu nyie ccm msinizoee sana [emoji57] mshanikoroga kwanza ntaenda hata kwenye chama cha mzee Rungwe Spunda [emoji318]

January Makamba: Nenda tu Bashe kwani unadhani huku ndo tunakuhitaji wewe, kwa lipi kubwa ulilonalo? Hizi siasa umezikuta so ziache kama zilivyo.... Si umemuona shangazi yako Sophia Simba

Msigwa: [emoji23][emoji23][emoji23] acha wamzingue tulichukue jembe hilo

Lema: Bashe achana nao hao wakaanga sumu, njoo huku kwenye harakati za kweli

Mwakyembe added Makonda

Nape: Mmmh nini hii tena? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Makonda added JPM

Mbowe: maaaweee Yesu na Maria [emoji24][emoji24][emoji24]

Mbowe left

Nassari left

Lema left

Tundu Lissu left

Halima mdee left

Ester Bulaya left

Msigwa left

Makonda: Duh!!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Bashe: *Utashanga sana mwaka huu na bado* [emoji57][emoji57][emoji57]

Bashe left

Jenista left

Kigwangala left

Serukamba left

Bwege left

JPM: Mbona mnaleft waheshimiwa

Nape left

Makonda: Hawa ndo wanaozuia tusifikie uchumi wa viwanda.

JPM: Hivi ule mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi [emoji539][emoji548] kule kinondoni unaendeleaje?

Makonda: Mkandarasi [emoji62][emoji62]‍♀ ameshaanza kazi, tunasubiri mwezi ujao tukakague kujua maendeleo.

JPM: Safi sana, mie napenda watu wanaopiga kazi sio hao wapiga kelele wauza madawa na wataondoka wote mie ni dereva nisiesikia kelele za abiria

Musukuma left

You: *Nilisahau vyeti vyangu kwenye viunga vya bunge kuna alieviona?*

Mwakyembe left

JPM: Huyu ni nani anaeulizia vyeti humu?

Makonda removed you
Bora kule kwa jk .t
 
Back
Top Bottom