Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hii kitu nimecheka daaahh.....
 
MUNGU NI MKUBWA AISEE....YAANI PAMOJA NA KUWA KORODANI ZIPO CHINI ILA UKIKAA HUZIKALII


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Haya bnaa, na znyew ulihis ni part ya makalio co…!!
 
Vodacom power to you:

Habari za leo. Tafadhali usipolipa deni lako la M-Pawa baada ya masaa mawili tutaanza kumtumia mumeo/mkeo picha na mesej zote ulizokuwa unamtumia mchepuko wako.

Vodacom power to you.
 
Eti nasikia watu mnasema MAPENZI NI MATAMU kuliko kitu chochote..
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji12][emoji12]

hivi mmeshawahi kunywa MIRINDA NYEUSI nyinyi...!!?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mirinda nyeusi ndo soda yangu ni tamu balaa
 
Hahahaaa ndoto mbaya sana iyo
 
Nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, Je, wanajifunza maudhui yake kweli?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkinuna poa tu ndo nishasema.
 
*siku ya Leo ni mbaya pia kwa wafanyakazi wanaoanza likizo mwezi huu maana ni ngumu watu kujua km upo home kisa likizo,, watu watajua vyeti feki tu....kazi kwako kuwaaminisha km vipi tembea na barua ya likizo*
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Ndo nishasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…