Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

MSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)

JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂

Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.

*Nikaamka kwa mshtuko kwani kwa uzoefu wangu wote sijawahi ota ndoto yakutisha kama hii*
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetishaaaa Mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jana usiku nilibakisha kipisi changu cha bangi jikoni, asubuhi nimekwenda hakipo[emoji15] [emoji15] itakuwa panya hawa, washenzi sana[emoji34] [emoji34] kwani si nikiwa navuta waje wagongee kuliko kuondoa nacho chote
Nimevurugwa[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…