Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Jamani kama kuna mtu ana picha ya WAHENGA nilikua naomba mana toka nimezaliwa nawasikia tu sijawahi kuwaona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kama kuna mtu ana picha ya WAHENGA nilikua naomba mana toka nimezaliwa nawasikia tu sijawahi kuwaona.
Ofcoz,,, i hope so ,to you also, dada Numbisa…!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetishaaaa Mkuujana nmetoka kuangalia movie ya kivita,na mm nkajiona kama nmeshakua stering vle..nkachkua mwiko nkatokea nao barabaran nkasimamisha difenda la FFU nkawauliza mnatoka wapi na mnaenda wap?
Hadi sasa hivi nupo kitandan napewa matibabu, @@@AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...
Aiseee...nashukuru kuwafahamu.
Aiseee...nashukuru kuwafahamu.
Sijui wanakaa wapi vile.
Ooops!!!Wamesharudisha namba kwa Muumba mbingu na nchi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nimefatilia kile kifo cha yule dada anaesemena amebakwa hadi kufa ni kwamba diamond platnumz ndie msanii bora kwa sasa tz hayo aliyasema ozil wakat anafunga goli dhidi ya hardware za kusambaza mchanga kwenye uchaguzi wa kumpata miss wa korosho husaidia kumfanya mtu aoge kwenye gari ambalo halina laptop zenye ukubwa wa chai ya maziwa yenye barabara za kwenda calculator maji makubwa ya kilimanjaro ndio huletja matairi ya kifaru cha mwinuko wa bahari kwenye ukuta wa maji*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa mmoja alkua na tabia akilala na mke wake wakiwa faragha raha ikimkolea anapiga makelele,mpk majirani wanackia.siku moja jirani yke mzee hamisi akamwambia hivyo unavyo fanya ni makosa na ni aibu sana,watu wote wanajua ww na mkeo mnafanya nn...jamaa akajibidiisha kwa cku mbili hakupiga kelele.siku ya tatu jamaa akashindwa kustahmili kwa raha ilivyo mkolea akaanza kupiga kelele,"aaaaah,mzee hamisi nisamehe sanaaaa, hamisi aaaaaash,nisamehe ntamaliza xaxa hiviii aaaaaaaah!!!...mzee hamisi akafungua dirisha,akamwambia piga kelele uwezavyo lkn uctaje jina langu majirani watajua umelala na mimi mwanaharamu wewe..tena unikome mbwa wewe.
[emoji23][emoji3][emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]MSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)
JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema🙂
Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.
*Nikaamka kwa mshtuko kwani kwa uzoefu wangu wote sijawahi ota ndoto yakutisha kama hii*
Jamani kama kuna mtu ana picha ya WAHENGA nilikua naomba mana toka nimezaliwa nawasikia tu sijawahi kuwaona.