Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

yaan maisha yamekuwa magumu...saa hv ukimtumia demu sms kwa kutumia namba ngeni ukamuuliza vp ile pesa nlokutumia umeipata anajibu fasta "Hapana mpenzi wangu sijapata"...yale maswali ya wew nani...namba yng umeitoa wapi cjui yameenda na mvua[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hahaaa
 
Mvuta kamba wanasema huvutia kwake, lakini ikikatika meno na pua hana...[emoji23] [emoji23]
Hawa wahenga bhana bangh yao sijui ilikuwa ya ludewa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ...
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
😀 😀 😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu mmi
 
Mvuta kamba wanasema huvutia kwake, lakini ikikatika meno na pua hana...[emoji23] [emoji23]
Hawa wahenga bhana bangh yao sijui ilikuwa ya ludewa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ...
Kwani ya Ludewa nzuri? Hapa Dar wapi naweza kuipata?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kuna sehemu nikipita huwa nanunua sambusa za kula kama tano hivi kwa sasa leo tulipokuwa kanisani mchungaji akasema watu tutubu [emoji120] [emoji120] dhambi zetu Yule mzee muuza sambusa akanyanyuka akaenda kutubu, basi akasema anaomba Mungu anisamehe kwa sababu huwa anaweka nyama ya mbwa kwenye sambusa [emoji16] [emoji16] Yaani sijui hata yale mawe yalitoka wapi ndani ya kanisa, lakini hata mchungaji alirusha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,,we Numbisa ww Mungu anakuon ujue…!!
 
Hakuna kitu ninachochukia [emoji16] [emoji16] [emoji16] kama kila nikienda kununua naambiwa cha Arusha wakati niki[emoji377] [emoji377] kumbe sicho
Uwe unanua mbegu upande mwenyewe, ziwe kutoka huko; hapo ndio utapata ule udambwi dambwi halisi...[emoji23] [emoji23] [emoji763] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…