Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

yaan maisha yamekuwa magumu...saa hv ukimtumia demu sms kwa kutumia namba ngeni ukamuuliza vp ile pesa nlokutumia umeipata anajibu fasta "Hapana mpenzi wangu sijapata"...yale maswali ya wew nani...namba yng umeitoa wapi cjui yameenda na mvua[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mwalimu kaniulizaa kama mtoto mdogo anaitwa mchanga... Je mtu mkubwa anaitwaje? ... Nikamjibu anaitwa kokoto..... Ameniitaa staff room labda atakuwa ameniitia chai

Huyu mwalimu ana roho nzuri sio kama mwl Msigwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa
 
Jana niliuziwa mzigo feki, nimeuvuta wote na macho kujicheki kwa kioo eti meupe kama ya kwenye avatar yako[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23], ngoja nika[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mvuta kamba wanasema huvutia kwake, lakini ikikatika meno na pua hana...[emoji23] [emoji23]
Hawa wahenga bhana bangh yao sijui ilikuwa ya ludewa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ...
 
yaan maisha yamekuwa magumu...saa hv ukimtumia demu sms kwa kutumia namba ngeni ukamuuliza vp ile pesa nlokutumia umeipata anajibu fasta "Hapana mpenzi wangu sijapata"...yale maswali ya wew nani...namba yng umeitoa wapi cjui yameenda na mvua[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
*Bibi kizee alikuwa kwenye meli.amevaa kofia na upepo mkali ukipuliza, akashikilia kofia kwa mikono miwili. huku gauni likapeperushwa na hakuvaa chupi. mtu mmoja akamuuliza,kwann unashikilia kofia wakat chini kukowazi hujavaa chupi? bibi akajibu: UCHI NINAO ZAID YA MIAKA 85.KOFIA NIMENUNUA JANA TU....*[emoji2][emoji23][emoji2][emoji23]
😀 😀 😀
 
Nimemuomba baba mwenye nyumba anikopeshe pesa, alafu amenipa tu hivi, nikamlipa nazo kodi hapohapo. Tumecheka na yeye kama dakika 5 ivi, alafu akanifungia nyumba. [HASHTAG]#nadhani[/HASHTAG] tunaenda kunywa soda kwenye duka la mangi hapa jirani maana hakuamini ningemlipa kodi kwa wakati
1f923.png
1f923.png
1f923.png
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu mmi
 
Mvuta kamba wanasema huvutia kwake, lakini ikikatika meno na pua hana...[emoji23] [emoji23]
Hawa wahenga bhana bangh yao sijui ilikuwa ya ludewa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ...
Kwani ya Ludewa nzuri? Hapa Dar wapi naweza kuipata?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kuna sehemu nikipita huwa nanunua sambusa za kula kama tano hivi kwa sasa leo tulipokuwa kanisani mchungaji akasema watu tutubu [emoji120] [emoji120] dhambi zetu Yule mzee muuza sambusa akanyanyuka akaenda kutubu, basi akasema anaomba Mungu anisamehe kwa sababu huwa anaweka nyama ya mbwa kwenye sambusa [emoji16] [emoji16] Yaani sijui hata yale mawe yalitoka wapi ndani ya kanisa, lakini hata mchungaji alirusha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yaan maisha yamekuwa magumu...saa hv ukimtumia demu sms kwa kutumia namba ngeni ukamuuliza vp ile pesa nlokutumia umeipata anajibu fasta "Hapana mpenzi wangu sijapata"...yale maswali ya wew nani...namba yng umeitoa wapi cjui yameenda na mvua[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,,we Numbisa ww Mungu anakuon ujue…!!
 
Hakuna kitu ninachochukia [emoji16] [emoji16] [emoji16] kama kila nikienda kununua naambiwa cha Arusha wakati niki[emoji377] [emoji377] kumbe sicho
Uwe unanua mbegu upande mwenyewe, ziwe kutoka huko; hapo ndio utapata ule udambwi dambwi halisi...[emoji23] [emoji23] [emoji763] [emoji124]
 
Back
Top Bottom