Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Matokeo kidato cha nne, div 1 moja, div 2 moja , div 3 Na 4 hakuna, sifuri 200.
Afisa elimu: mkuu wa shule mbona wanafunzi wengi wamefeli
Mkuu wa shule: tumewaandaa wawe wakuu wa Mikoa Na wilaya[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji15] [emoji15]
 
USILOLIJUA KUHUSU KONOKONO
Konokono hana mfupa wowote kwenye mwili wake na pia konokono ni aina ya
"Hermaphrodites",
Kwa maana kuwa wanamiliki jinsia mbili(kiume na kike). Kwenye kujamiiana
wanaviziana, atakaeruhusu kupandwa ndiyo anakuwa jike wakati huo na atataga mayai.Huyo ndio konokono[emoji13][emoji13]:: lakin embu fikiria: binadamu tungekua
"Hermaphrodites" na hizi akili zetu
ingekuwaje? Tungetembeleana kweli? Mkeo ukimzingua anakuvizia usiku umelala anakupa mimba! Unacheka!, shauri yako shukuru Mungu.[emoji13]
 
Kuna [HASHTAG]#dogo[/HASHTAG] hapa [HASHTAG]#kameza[/HASHTAG] sh.500 sasa tunataka kuitoa sijui tumpeleke #M-pesa au [HASHTAG]#Hospital[/HASHTAG] Nataka kuokoa maisha hapa
 
Miaka 30 iliyopita kipindi kama hiki ndio nilikuwa nanenepa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kujua kwanini[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]

Nilikuwa naramba masufuria yalopikiwa futari[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] john weeee
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Demu: Mambo?
Dave: Poa nani?
Demu: Happy
Dave: Happy nani?
Demu: heee!! kwani unawajua wangapi?
Dave: Mmoja
Demu: mtaje
Dave: Happy Birthday
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…