John sanga ni mwanafunzi mchoraji,siku moja alichora noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu..mwalimu alipoingia darasani ghafla akajikwaa akaanguka na kupasuka pua.....
Wakati alikua anakimbilia ile ela kuiokota,akauliza wanafunzi nani aliechora hapo chini?
Wanafunzi wote wakamtaja john
Mwalimu kamua kumpigia baba yake john simu(mzee sanga).
Mzee sanga kapokea akiwa hospital kalazwa, mwalimu akamweleza makosa ya mwanae, mzee sanga akamwambia afadhal yako wewe umepasuka pua hujalazwa, huyo mbwa Jana kachora uchi Wa mwanamke kwenye socket ya umeme
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
UNAISI MZEE SANGA KAUMIA WAPI!!?