Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni, unafika mlangoni na maumivu ya kidole + uchovu + hacra + hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia nasajili line za Halotel !*[emoji134]

*Hapa ndo utaelewa samehe 7x70 inamaanisha nin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa mtaani kuna kabinti nimekazimikia muda mrefu kananitosa[emoji38] [emoji38] sasa eti leo kamenipigia simu kanataka kaje geto, [emoji39] [emoji39]then wife hayupo, nikakiambia kaje[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si kamekuja basi nimeka....

....menyesha
viazi kwa ajili ya futari na kukatoa ndukii
Nipo kwenye mfungo sitaki ujinga[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
IMG_20170530_161134.jpg
 
Nilikuwa nimekaa kwenye ukumbi wa sinema
, mbele yangu kulikuwa na binti wa kike nà
kijana wa kiume wakiwa wamepakatana,
nilipigwa na butwaa yule binti alipoamua
kupandisha blauz yake juu na ghafla yule
kijana akaanza kunyonya taratiibu kana kwamba hamna watu wanaowaona , cha
kushangaza zaidi yule binti alikuwa wa miaka 25 na kijana ana miezi 3...!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kwani kuna binti wa kiume?
 
Wadada sio kila neno mnaongea kwa pozi[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwenye gari leo wakati natoka Mbagala naelekea Gomz, kuna mdada alikuwa anaongea simu [emoji38] [emoji38] [emoji38] sasa hiyo Gongo la mboto alivyoitamka watu wote walimgeukia, naomba ninukuu "Enhe ndio nipo kwenye gari naelekea Gongo la mb.o.o.o.to"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Viswahili vyengine sio vya kutumia [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamaa yuko bar anakunywa zake Faru Joni, mara jirani yake akaja, jamaa kampokea vizuri tu na kumuuliza "Vipi nikutoe saba juu au nikutoe mirinda?" [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] alichoambulia jamaa ni ngumi za shingo dabo na kelb za kufa mtu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Bora angesema nikuagizie 7up au mirinda[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]
 
*Pombe siyo chai*
Mlevi mmoja alijikwaa akaanguka. Watu walipokuja kumuuliza kulikoni akawajibu "sijui na Mimi ndo nimefika sasaivi"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huko nchini SOMALIA kuna mtu amechepuka Mara moja tu na kuhukumiwa kupigwa mawe hadharani hadi kufa.
Hii sheria ikiletwa Tanzania itabidi serikali iagize kwanza mawe nchi za nje maana yaliyopo hayatatosha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom