Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[FFOOOO]nice[\COLOR]Hujapotea kwani wewe huna stress..?
------------------------------
nimemtembelea,rafiki yangu mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa amesonga ugali nikamtuma nje wakati anatoka nje nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujuwa alipima maji kulingana na unga uliobaki sasa hivi tunakunywa uji hatuongeleshani .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kumbe_wote_hatupendangi_ujinga!
hahaha,kwa kwelHilo umeona ni jambo la kujivunia?
Utakuwa una msongo wewe, ...
Nimependa ubunifuHAPPY WOMEN'S DAY[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Kama kana ujumbe kwa wale [emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimependa ubunifu
Anataka kufuta tatuu kwa moto wa pasosijaelewa
OkeyAnataka kufuta tatuu kwa moto wa paso