Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*MWANAMKE WA MAREKANI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA KANSA,*
*MWANAMKE WA URUSI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA MALARIA*
*NA MWANAMKE WA CHINA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE, UNA MAFUA*
*MWANAMKE WA TANZANIA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE SINA HELA_[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]*
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nikiwa nimechoka najiamulia tu kupiga simu police:
Mimi: Hello afande nipo hapa naona watu kibao wamekufa...
Afande: Kiongozi tuambie mahali ulipo tuje sasa hivi...
Mimi: Nipo hapa makaburini...
[emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀maisha ya ndoa yanataka subira sana...... Unaweza kununua parachichi lako jioni ule na wali unakuta mtu kaliponda kapaka usoni
Hoi kwa cheko.Money is evil
Jamaa mmoja karudi mapema kutoka Kazini mpole!
MKEWE: Vipi leo mbona mapema na mpole hivyo?
MUME: Ofisi yetu imeungua Moto na watu wote wamekufa.
MKEWE: Sasa ilikuwaje wewe ukapona?
MUME: Nilikuwa chooni, nje kidogo na ofisi.
MKEWE: Loh maskini familia zao zitakuwaje?
MUME: Watalipwa milioni 200 kila mfiwa.
MKEWE: Akahamaki kwa hasira, "Ona sasa kunyakunya kwako ovyo umetukosesha mihela yote!!
Hebu rudi huko kabla moto haujazimika!....[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125]
Wa kwanza kushoto walochuchumaa naona kama daudi daudi daudi nani vile?Hizi ndio zilikuwa jezi zetu za kitaa kipindi nipo mdogo nagonga soka [emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]![]()
Thank u on behalf of myself and people of united state of America....oohh sorry! People of united forum of jamii!Bill Gates, Mark Zuckerburg, Donald Trump, myself and other billionares would like to wish u a HAPPY EASTER.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Thanks on behalf of myself and my colleagues trillionares.Bill Gates, Mark Zuckerburg, Donald Trump, myself and other billionares would like to wish u a HAPPY EASTER.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Thanks on behalf of myself and my colleagues trillionares.