Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

f904adab70f8b77abd451e663f271f53.jpg
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata bure hatuchukui
 
*WADADA BHANA, KITANDANI ATACHANUA MIGUU KAMA NINJA ILA KUTANUA MIGUU ARUKE MTARO ANAOGOPA*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji12][emoji12][emoji12]
Ile umetoka zako kupiga module unataka urudi geto ujipumzishe hata kidogo........ Ile unafika karibia getoh xmx inangia nipo na shemeji yako...... So chelewa kidogo... [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kama nakuona vile ulivyomind..................

NB
kuishi chumba kimoja wanaume wawili halafu wote wazima inahitaji ufungue moyoo
haa haaa haaa we acha tu saiv nimekosana na room mate wangu apa chuo mana azipiti siku mbile lzm nimpige exzile yaana akalale geto kwa machiz
 
A mother used to cook her kids chicken everyday, but the kids got fed up.
Gal: Nitaambia mum aache kupika kuku.
Boy: kwa nini?
Gal: Nimeanza kumea manyoya huko chini.
Boy: Nilidhani ni mimi tuu!
Gal: ata wewe? Ona zangu venye ni mob. Ebu nione zako.
Boy: taking short down. Ona kazi ya mum na kuku zake daily.
Gal: Ghai! Yako imezidi, si manyoya pekee,unamea shingo ya kuku pia.
Boy: hata si shingo pekee, shika usikie mayai mbili hapa chini ya shingo.......

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Even keyans mnashiriki kwa haka kamchezo eenh
 
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa. Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu Wa kiume Wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia hakunyamaza. Akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto. Mwanangu akanyamaza pale pale. Akiwa anamnyonyesha Mimi nikaingia. Nikamuwakia dada. " unataka kumuambukiza mtoto magonjwa?[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] [emoji35]. "Hapana baba hayatoi maziwa Mimi nimempa tu anyamaze!!" . " kweli hayatoi?". Nikaamua kuthibitisha. Nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ahaa kweli hayatoi. Hebu hilo kingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia.nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi Wa nililolikuta. Hakuamini. Hebu niambieni. Wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa? Wanawake acheni hizo!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Ungekagua kila mahali.
 
Niliitwa kwenye interview baada ya kukubaliwa maombi yangu ya kazi, nilipofika nilikuwa na furaha sana maana ndoto zangu za kupata ajira ndio zilikuwa zinaenda kutimia, nikaingia moja kwa moja ofisini alipo interviewer akaniambia ''wait please" nikamjibu '65kg' .
Ameniambia nirudi wiki ijayo, nadhani nitaenda kuanza kazi moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom