Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

17494739_199006330598555_1153047987098746880_n.jpg
 
Jamaa aliingia msikitini akiwa kashika panga huku jasho likimtoka,akasema"nani muislamu humu?"wote wakauchuna.Akarudia tena"nauliza nani muislamu humu hamnisikii?"wote kimya.Akamgeukia Imamu"wewe sio muislamu?"...Imamu:aaaaah jamani kukaa mbele tu hapa ndo nimeshakuwa muislamu?"...Akamshika mkono muumini mmoja aliyekuwa karibu na mlango akamtoa nje,akamwambia "naomba ukanichinjie mbuzi nyumbani nina wageni leo waislamu"....jamaa akaenda akamchinjia halaf akamwambia"ila utaalamu wa kuchuna ngozi sina labda ukamchukue mwenzangu"....jamaa ikabidi arudi msikitini huku panga linavuja damu....Imamu kuona vile akasema"tumsifu Yesu kristo"...waumini wakaitikia"milele amina!!"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vuta picha umegia chooni kukata gogo pembeni yako lile dishi kubwa la maji limejaa fully, unamaliza kukata gogo unaangalia kopo la kutawaza lipo kama hatua tano ivi ndo utajua kuwa bata akitembea analinga au anayake!
 
Mpemba Alikuwa Anamfundisha Binti yake
MBA MBE MBI MBU

Binti akamuuliza baba mbn umeruka moja?
Baba akamjibu iyo utaisoma kwa mumeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Bata Wa Jirani Yangu Huwa Namuonea Huruma Sana Kila Siku Anakuja Kumpanda Bata Wangu Na
Akimaliza Tu Utaona Kuna Utumbo Mrefu Unaburuza Chini Leo Nimemvizia Alivyomaliza Kumpanda Tu
Nikaudaka Ule Utumbo Na Kuukata Na Kisu Basi Yule Bata Tangu Asubuhi Amelala
Tu,Wenyewe Wanamtafuta Nahisi Ule
Utumbo Ulikua Unamnyima Usingizi..
 
Niliitwa kwenye interview baada ya kukubaliwa maombi yangu ya kazi, nilipofika nilikuwa na furaha sana maana ndoto zangu za kupata ajira ndio zilikuwa zinaenda kutimia, nikaingia moja kwa moja ofisini alipo interviewer akaniambia ''wait please" nikamjibu '65kg' .
Ameniambia nirudi wiki ijayo, nadhani nitaenda kuanza kazi moja kwa moja.
Acheni izo ndug
 
Kuna Bata Wa Jirani Yangu Huwa Namuonea Huruma Sana Kila Siku Anakuja Kumpanda Bata Wangu Na
Akimaliza Tu Utaona Kuna Utumbo Mrefu Unaburuza Chini Leo Nimemvizia Alivyomaliza Kumpanda Tu
Nikaudaka Ule Utumbo Na Kuukata Na Kisu Basi Yule Bata Tangu Asubuhi Amelala
Tu,Wenyewe Wanamtafuta Nahisi Ule
Utumbo Ulikua Unamnyima Usingizi..
Ohoooo!...[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom