Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Ile dhana kuwa ukikitupa (kumwaga mbegu )ingekuwa unatoa sauti kama ya bunduki basi bongo ingekuwa kuna kelele kuliko allepo syria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa naona mshkaji anarudi na katandinga LA magereza kachezea mvua UA miaka sitaAnaandika Temba Daniel B akinakili kutoka kwa Wakili Msando Alberto
Kuna jamaa alipelekwa Mahakamani KIBITINI kwa kumuita Mh. Mbunge Nguruwe. Lilikuwa kosa lake la kwanza hivyo Hakimu akaamua kumuhurumia. Akamuachia na kumpa onyo asitumie lugha chafu tena.
Jamaa akainama na kumshukuru Hakimu akimwambia "nashukuru sana kwa kuniacha huru sikujua kama ilikuwa makosa kumuita Mbunge Nguruwe. Kweli sitarudia tena". Hakimu akamjibu "usijali unaweza kwenda". Jamaa akauliza, "Naweza kuuliza swali?". Akajibiwa na Hakimu kwamba anaweza kuuliza swali.
Jamaa akasema, "sasa najua ni kosa kumuita Mbunge Nguruwe, Je ni kosa pia kumuita Nguruwe wangu, Mbunge?" Hakimu akacheka akamwambia "sijui kwa nini ungetaka kumuita Nguruwe wako Mbunge. Ila sidhani kama Nguruwe atajali ukimuita Mbunge. Ndio unaweza kumuita hivyo sio kosa kisheria".
Jamaa akatabasamu na kuinama, kisha akamgeukia yule Mbunge na kumwambia "kwaheri Mheshimiwa Mbunge" [emoji23][emoji23][emoji23].!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haihitaji ufafanuzi tena._UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_
*NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.*
*KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......*
*KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.*[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Diamond muuza karangaET KWA MFANO UKO KWENYE SHEREHE NA
POCH AU WALLET YAKO IKAIBIWA HAPO
HAPO ULIPOKAA NA UKIANGALIA PEMBEN
YAKO KAKAA DIAMOND PLATNUMZ NA
ALIKIBA,,,,HV KWA WEWE UTAANZA
KUMSHUKU NAN!!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Story hii ina funza......
Mtoto mmoja wa miaka iliyokadiriwa kufikia
kama miaka kumi hivi, alikuwa anakula embe
mara akakuta FUNZA....alichofanya aliacha
kulila akaenda kunawa
Nimekwambia story ina FUNZA....... nadhan umemuona.. Akili yang naijua mwenyew
namwabia ahsantee....Ni asubuhi na mapema siku ikiwa ndio kwanza inaaza, upo kitandani unatafakari ni vp siku itakwenda mara unasikia mlangoni kwako kuna mtu anabisha hodi, wakati unaamka ukaone nani kabisha hodi unajigonga na kabati, ile unanyanyuka unaanza kutembea utoke nje unajikwaa na kitanda, unatoka nje ile unasindika mlango wa chumbani unajibana na mlango, kufika sebuleni nako unajikwaa na glasi inavunjika, unafungua mlango wa nje unakutana na jamaa anajichekesha na kusema kaka/dada tuna sabuni za urembo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
Leo nimecheka kicheko kikuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama hukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]