Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mwanafunzi :eti mwalimu mtu anaweza kuadhibiwa kwa kosa ambalo hajalifanya?
Mwalimu :huo ni Uonevu wa hali ya juu sana na haikubaliki kabisa
Mwanafunzi :imekuwa bora sana maana ile home work uliyotupa jana sijaifanya kabisa.
 
Pana shoga moja (choko )alizoea kupita maskani kwetu pana rafiki yangu akawa anamuwakia na kumsemea mbovu juu ya tabia yake yule shoga siku moja kaja na mbwa wake jamaa kama kawaida kamuwashia moto yule shoga akaanza kumchomeshea mbwa "popi popi muume bothooo (boso )yule mbwa akawa anabweka woo woo woo huku mkia kauficha nyuma na macho kalegeza kumbe mbwa nae CHOKO!
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sent using iphone 7+
 
IMG-20170719-WA0009.jpg


Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
KUMSAIDIA MTOTO HOMEWORK[emoji818]

Kusaidia mtoto wa Vidudu Homework ni ngumu sana. Jana nimemuuliza SWALI LA HESABATI "Nina pipi tano, nikiwagawia watoto watatu kila mmoja pipi moja moja nitabakiwa na pipi ngapi?"
Akaniambia Toa kwanza nizione..
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Kuna dem niko nae hapa namtongoza, ameniuliza "kwanini namtongoza yeye wakati nna mke wangu?" Na mimi nimemuuliza "kwani ukienda kununua nguo unaenda uchi?"

Anacheka tu hapa nadhani ashanielewa...[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
WIKI MBILI BAADA YA HARUSI
Mama alimuuliza "VP maisha ya ndoa?" mtoto akajibu, "Duh kama British Airways". Mama akatoka mpk airport kuangalia ratiba akakuta inatua kwa wiki mara 7,na ktk kila siku 1 inaenda trip 3,na ktk kila trip 1 inasimama vituo 7 na kila ikitua inafikia nyuma ya uwanja. Mama akazimia.
Je, mama alizimia kwann?
 
Hakuna watu wanakula kwa tabu kama wanawake walopaka lipstick[emoji38] [emoji38] [emoji38] wakitaka kula wanatoa meno nje kama ngiri[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Hii sio haki kwa watoto tunapochangia kunyonya chuchu za mama zao huo ni uonevu na siku wakijua basi watauthamini sana uji
 
Back
Top Bottom