vedastus salvator
Member
- Jul 27, 2017
- 19
- 16
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Rafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23]Kuna demu kaweka status yake kuwa "wanaume wote mbuzi" nikamuuliza; "Wewe Baba yako umemkatia majani?"
Sasa hivi nikimtumia msg hazipokelewi nahisi kazima simu kwanza anaenda kumkatia majani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mie nitamwongezea na dictionary kabisa siyo kwa ubashite huo[emoji23] [emoji23]Pana jirani yangu nimetoka kumuona muhimbili amejeruhiwa kichwani na mkewe nikamuuliza tatizo akasema yeye alikuwa penye ibada nikashangaa sana ibada tu mkeo akupige akajibu ndio nikauliza ilikuwaje
"Dear God thank you for mercy for grace and for joy now I have faith " nikamuuliza hivyo tu akajibu ndio niliomba hivyo. Basi muda wa kutizama wagonjwa ulivyoisha nikampakia shemeji njiani namuuliza ilikuwaje ndio akasema jamaa karibu mara ya tano anamvizia akidhani amelala anapiga magoti na kuanza kuwataja taja majina hao wanawake wake shemeji kweli nikashindwa kuvumilia nikampiga rungu kichwani. Nilishindwa kucheka ila hapa tupo kwa Ras simba na ada tayari nimemlipia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]MUGABE NAE KWA MAJIBU ANATISHA
SWALI:Kwanini wanasiasa wala rushwa hawaendi jela ?
MUGABE! Hii ni sawa na mbu anayeng'ata kwenye pumbu hawezi kupigwa kofi zito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha, huu mwezi wa valentine una maneno..!
Girl: My love namis kula kuku
Boy: Kwani wewe ni mwewe?
[emoji23] [emoji23]Kuna mwezio eti hakusikia sauti kajaribu kuunganisha na sabuufa! 🙂🙂🙂
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] da golden chance kama hzo huwa hazitupati watu kama cc, nngekuwa mie hapo nmeshamaliza game*Manzi anakupenda balaa.. Anasubiri wewe tu umwambie ili muanze maisha matamu. Tatizo moja linajitokeza, we ni domo zege* [emoji134]♂[emoji134]♂[emoji134]♂
[emoji134]♂
*Unajikakamua usiku huo, unamtumia meseji kuwa unakitu kitamu sana cha kumwambia. Demu anakujibu kwa bashasha, niambie. Unakaa kimya dakika 10. Anatuma txt ingine kuomba umwambie.*
*Unaamua kughairi kumwambia kwa madai ni jambo la kipuuzi sana hasa kwa umri wenu. Ila demu anakusisitizia umwambie. Anakopa hadi salio na kukupigia akiomba umwambie hivyohivyo. Unaamua kumwambia kuwa utamwambia kesho Manzi hana jinsi, anaamua kutry to sleep with broken heart.*
*Kesho yake mtoto anajipara balaa. Tena anachagua saa 2 usiku ambapo tayari wazee wake wamelala. Mnakutana maeneo fulani ambapo watu si rahisi kuwaona. Unaanza porojo zako. Mara leo tumekula nyanya chungu, mara ukila dengu ukijamba ushuzi unanuka balaa. Hujakaa vizuri unaanza kuhadithia mkesha wa mwaka mpya. Mwishowe manzi anakuuliza jana ulitaka kuniambia nini? Tena huku kalegeza macho nadhani hata ubongo pia utakuwa umelegea. Chance pekee ambayo kamanda kama mimi nadokoa tu! Nafunga goli la kunyanyulia kombe*
*Unakaa kimya dakika kadhaa. Manzi pumzi zinapishana huku akili yake inawaza maneno matamu utakayoyamwaga. Na kweli, kimya kingi kina mshindo. Domo zege unaamua kufunguka uliyotaka kumwambia.*
*Unaanza kwa kumtaja. Naye anaitika kwa heshima. Unamwambia hili jambo ni la kipuuzi sababu ya umri wenu kutoruhusiwa na wazazi wenu na hata dini. Demu anakurekebisha, anakwambia hamna kitu cha kipuuzi kama tutaridhiana. Unafurahi kwa kukupa ahueni ya kuzidi kutiririka. Basi unaendelea kwa kumuita tena jina lake.*
*Unamwambia jambo nililotaka kukwambia.*
*Hapo unatulia kwa sekunde kadhaa kama vile MaMC wanavotaka kumtangaza Miss World. Binti Kimoyo kinaenda paa paa paa mpaka kitisheti kinafunuka*
*Unamalizia kwa kusema, naomba uniibie peni kwenye duka lenu*
*Kiukweli usipopigwa kofi na Malaika, utapigwa konzi na Shetani*
[emoji2] [emoji2] [emoji2]SONG: JELA
ARTISTS: AVEVA & KABURU Feat HANS POPE
PRODUCER: TAKUKURU
STUDIO: JPM RECORDS
Tangu Tufungwe Siku Ya Tatu Imefikaa
Bora Leo Hii Hans Pope Umefikaaa
Tupe Ripot Za Usajili Msimbazii
Twasikia Ngoma Amebaki Jangwaniiii
Kusema Kweli Mambo Sasa Magumuuu
Haruna Naye Hapokei Hata Simu
Si Unamkumbuka Yule Tambwe Mabaoooo
Naye Kabaki Yani Yanga Warohooo
Kwa Hali Hiyo Ubingwa Hatupati Tenaa
Na Mwaka Huu Watabeba Mapemaa
Mo Afanye Ile Mipango Yetuuu
Japo Tushike Nafasi Ya Tatuu
Hiv Ni Kipi Hasa Kisa Na Mkasa
Kilichofanya Mpaka Sasa Mko Hapa
Nimesikia Eti Mmeiba Pesaa
Hiyo Ni Kweli Hatuwez Kubishaaaa
CHORUS
Hiiiiiiiiii Iiiiiiiiii
Pole Saaaaanaaaa
Hiiiiiiii Iiiiiiiii
Nyamaza Acha Kuliaaaaaa x2
Yani hiiii iiiiihhh mavugo anakusabahiiiiiiiiiiiiiii
yani iiiih iiiih iiiih Manara na kichuya wanakupa hii.....
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
Umenikumbusha o level mkuu[emoji23][emoji23]Land alienation
Forced Labour
Low wages
Poor government support
Poor infrastructure
Yan hizi point hua hazkataagi hata km unaelezea sababu za maambukiz ya Malaria [emoji23][emoji23][emoji23]
Food web*BOSS anamwambia sekretari wake*:
*Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.*
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa kando):
Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution:
wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS):
Dear hakuna tution wiki hii nakuja kwako.....
BOSS anamwambia sekretari wake:
Siendi Serena tena coz mjukuu wangu atanitembelea.
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena
MUME (anampigia Mpango):
dah! mpenzi, huyu fala haendi tena. Shit! So hadi next time plz
Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi):
Darasa kama kawaida sorry for the earlier message.
MWANAFUNZI: darling tution
inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya serena iko palepale......
HOW DO YOU HELP THESE PEOPLE?
*Mnasemanga Food chain mnakosea hii sijui tuiite nini???*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha haki ya Mungu we huwezi kua mzima kamwe hahahaha nimecheka aseeee.. umefikiria nini!!!!???Ashukuriwe mungu kama angekuumba ndege na namna ulivyo komaa ungekuwa umechinjwa siku nyingi.
=wakili msomi fatma karumeJe wajua?
Mtu mwenye bahati duniani Babu yake alikuwa rais, bibi yake alikuwa first lady
Baba yake alikuwa rais, mama yake alikuwa first lady
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106]=wakili msomi fatma karume
sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app