Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,066
...Hivi alie waroga watanzania kua ukipuliza wembe unaisha makali nani?
Mungu anawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana.Kuna dem niko nae hapa namtongoza, ameniuliza "kwanini namtongoza yeye wakati nna mke wangu?" Na mimi nimemuuliza "kwani ukienda kununua nguo unaenda uchi?"
Anacheka tu hapa nadhani ashanielewa...[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Shikamoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MmmhhhSwali la kizushi, hivi wachawi wanapodondokaga kwanini havunjiki hata mguu? Anakua salama kabisa hatakama alidondoka kutoka stratosphere, wakati mtu akijikwaa tuu anachubuka balaa.kuna mechanism gani kwenye usafiri wa ungo ukipata ajali hata huchubuki wakati ndege za wazungu mnakufa wote [emoji23][emoji23][emoji23]I think African technology is the best of wazungu Kama tukijiendeleza
[emoji113][emoji113][emoji113]
WpK