*CHEKA KIDOGO NA MATENDO YA WANADAMU WA SIKU ZA MWISHO*
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Baba mmoja alikuwa na mfanyakazi wake wa ndani aitwaye Bakari (house boy); mara nyingi Bakari huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue.
Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu Bakari anahusika. Sikumoja bosi huyu aliamua kununua wine fulani ambayo ukiongeza maji inabadirika rangi. Kama kawaida, Bakari akanywa ile wine na akaongezea maji, baada ya muda ikabadirika rangi; bosi akaja kugundua. Bakari alipostukia hali ya hewa, akaenda jikoni kujibana.
*Mara mzee akaanza kumwita, fuatilia:-*
*Boss:* Bakariiii!
*Bakari:* Naam baba!
*Boss:* Nani kanywa wine yangu?
*Bakari:* Kimyaaaa[emoji40](hajibu kitu!) *Boss:* Bakariiiii !
*Bakari:* Naam baba!
*Boss:* Nauliza, nani kanywa wine yangu halafu anajazia majiii?
*Bakari:* Kimyaaaaa![emoji40] (Hakujibu kitu)
*Boss akaamua amfuate hukohuko jikoni...*
*Boss:* Kwanini nikikuita jina unaitikia, ila nikikuuliza kuhusu wine yangu unanyamaza?[emoji34]
*Bakari:* Baba, huku jikoni ndo kulivyo[emoji45], unasikia jina tu likiitwa; lakini maneno mengine husikii, na kama huamini baki jikoni mi niende sebuleni harafu nijaribu kukuita.
*Bakari akaenda sebuleni akaanza kuita...*
*Bakari:* Babaa!
*Boss:* Naam Bakari!
*Bakari:* Mida ya saa sita za usiku huwa unaenda kufanya nini chumba cha house girl?
*Boss:* Kimyaaaa![emoji40] (hakujibu kitu)
*Bakari:* Baba babaa!
*Boss:* Ndio Bakari!
*Bakari:* Nauliza hivii, chumbani kwa house girl saa sita za usiku huwa wafuata nini?
*Boss:* Kimyaaaaaaa![emoji40] (hakujibu kitu)
*Boss akatoka nje:* Aisee[emoji27], Bakari huku jikoni ni kweli husikii kitu zaidi ya jina, duh!!![emoji22]
*Mama akasema msinizingue nyie... Mbona siwaelewi[emoji35]*
*Bakari:* Mama[emoji45] kama huamini na wewe ebu nenda uone.
*Mama akaenda jikoni...*
*Bakari:* (akaita) Mamaaaa
*Mama:* Bee Bakari
*Bakari:* Eti hiyo mimba uliyonayo ni ya baba au yangu?
*Mama:* Kimya[emoji40]
*Bakari:* Mama nakauliza tena, hiyo mimba ni ya baba au yangu?
*Mama huku anatoka nje:* Aisee!!! kweli hili jiko inabidi lichunguzwe vizuri, humu unasikia jina tu♀...
[emoji23][emoji38][emoji23][emoji23][emoji38][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji23]