Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Leo nimekutana na Ombaomba akanambia naomba hela. Nikamwambia sina hela, akasema sasa unazurula zurula nini si ukae hapa tuombe wote!
[emoji3][emoji3]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] utadhani kuomba hela ni ajira.mwambie mkikaa wote kuomba tingatinga atawadai kodi maana mmeshakuwa nusu kiwonder ongezeni wawili muwe kiwonder kamili mtulipe kodi bhana
 
95a62e20e039f80f6bda4525d5e45c3d.jpg



Bluetooth speaker
How much tz sh
 
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
mbagara, akanistua kwa nyuma akisema "Kibweregene
mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu
nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao,
akacheka sana,, Mara akaanza kuzungumzia
matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache
hayo mimi mwenzako nimepitia makubwa,
aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake,
NIKAMSTOPISHA nikamwambia " Unadhani
familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa
changu hiki….
"Miaka michache iliyopita nilikutana na
mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu,
mimi na huyo mjane tukaamua kuoana. Baadaye
baba yangu ambae alikuwa mkiwa baada ya
kufiwa na mama kitambo tu akaamua kumuoa
binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke
wangu niliyemwoa akiwa mjane), hivyo huyo binti
yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo
na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa
kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe
wa mkwe wake.
Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa
kambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa baba
yangu na hivyo kuwa pia mama yangu wa kambo)
alipata mtoto wa kiume. Mtoto huyo wa kiume
akawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia
baba mmoja. lakini kwa vile pia alikua ni mtoto
wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu
wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyo
mdogo wangu.
Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na
mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa
msichana (yaani binti ya mke wangu ambaye pia
ni mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wa
mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia
mama yao mmoja, akawa pia bibi yake na
mwanangu (mwee!!). Hali hiyo ilimfanya pia baba
yangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achilia
kuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike
kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba
yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama
yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama
mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe . Mtoto
wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu
ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.
Kabla sijammalizia jamaa akaondoka
Mimi sio mchezomchezo
Sipendagi Ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuu hatari sana
 
Anytime you see a girl shaking her buttocks while walking, just Know
she is going to her boyfriend's place.

How did I know??
Because it's written in syrup bottles
*" _shake well before use_ "

Too much Wisdom will kill people one day.

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji15][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Kweli maisha tofauti kuna wengine wakiamka wanakutana na meseji I LOVE YOU wengine sasa wanakutana BATTERY FULL REMOVE YOUR CHARGER
wewe ni yupi???
Ninakutana na baba mwalimu kasema utununulie countar book 2 za kwaya 4.niki imagine ucku tumekula ugali kwa mlenda.huwa ninachoka[emoji86] [emoji86]
 
Back
Top Bottom