Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

bd50d0fa39cc289a097ec835cd436a6c.jpg
Hii picha nakumbuka imenipigisha sana bakora [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
Hivi mtu mwenye uchu wa kupata uzi si ndio tunamwita mchuuzi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Bangi nzuri sana
[emoji165] [emoji165] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji28] [emoji23]
 
bd50d0fa39cc289a097ec835cd436a6c.jpg
Hii picha nakumbuka imenipigisha sana bakora [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
Nijuze sijajua maana yake
 
Nijuze sijajua maana yake
Hiyo ni noti ya shilingi 200, kipindi hicho nilikuwa nikiagizwa dukani, lazima niichane noti niwatoe hao wavuvi, au upande wa pili kuna chui na wanawe, ilikuwa lazima nichane hela
 
Hiyo ni noti ya shilingi 200, kipindi hicho nilikuwa nikiagizwa dukani, lazima niichane noti niwatoe hao wavuvi, au upande wa pili kuna chui na wanawe, ilikuwa lazima nichane hela
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
*Umekula mshikaki Wa 500 unatenmbea na stick mdomon je siku ukila kuku c utatembea na kun wewe*
Ukimkuta jirani yako asubuhi na toothpick mdomoni usidhani ametoka kula nyama[emoji38] [emoji38] pengine kazama uvinza mav*uzi ndio yamegandia kwenye meno[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Zuzu kaua watu 50 kwa kuwagonga barabarani. Cheki alivyokuwa akihojiwa na trafiki:-

Traffic: Imekuaje ukaua watu wote hawa?
Zuzu: Nilikuwa spidi ghafla
nikaona watu wengi kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyaje?
Traffic: Ningemgonga yule mmoja ili kuokoa maisha ya watu wengi
Zuzu: Hivyo ndivyo nilivyokusudia lakini nilipotaka kumgonga yule
mmoja akakimbilia kwa watu
wengi akadhani sijamwona
nikamfuata huko huko!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Zuzu pombe haachi!
 
Mexico pana kabila wamepukutika wote na kubaki watu wawili tu duniani wanaoweza kuwasiliana sasa tabu imekuja wamechuniana mwezi wa sita huu hawaongei juhudi za kutafuta msuluhishi bado zinaendelea.
 
Back
Top Bottom