Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

NDANI ya daladala mtoto mmoja alikuwa akila chocolate. Alipomaliza ya kwanza akatoa ya pili na kula, aliendelea mpaka zilipofika tisa ndipo mzee mmoja aliyeketi jirani yake:
MZEE: Hivi haujui kwamba kula sana chocolate kunaweza kukuharibia meno?
MTOTO: Babu yangu aliishi vizuri kwa miaka 150 kabla hajafa...
MZEE: Aliishi vizuri muda mrefu kwa sababu ya kula sana chocolate?
MTOTO: Hapana, aliishi muda mrefu kwa sababu hakuwa akifatilia mambo yasomuhusu...
 
JE WAJUA? Msuli mrefu kuliko yote kwenye
mwili wa binadamu unaunganisha kope za
macho na sehemu ya kutolea haja kubwa
(anus) ndo mana kila ukijaribu kubana jicho
moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila
kutarajia? nawaona cheki mnavojaribu...m
takuja kunya buree jaman....
siyo kila kitu cha kujaribu ala!
 
Jaman wadada muwe mnajiita majina sawa na mlivyo sio unajiita

baby cute, pretty girl, tantalising eyes,sijui delicious nini

watu wanatumia nguvu nyingi kuwatongoza halafu siku mnakutana unakuta umekaa kama JAHAZI LILILOBEBA KAMBALE hueleweki wapi juu wapi chini...

INAKUA SIO FRESH! mnayumba eeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji453]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu umefikiria nini mpaka kuandika hivi?
Nimecheka sana aisee.
 
Nasikia wanasayansi wanasema "sex burns calories and fats"
Nimekaa, nikavuta, nikawaza nikagundua kumbe RICKROSE ni bikira!!!
 
Mwanaume Huvaa Nguo Kwanza
Baada Ya Kuoga, Kisha Unajipaka
Mafuta Zile Sehemu Zinazo Onekana.
Kama Wewe Ni Mwanaume Na Unajipaka
Mafuta Kila Mahali Kabla Ya Kuvaa Nguo...
BASI KEMEA HARAKA HILO PEPO LA..........
BABI [emoji752]
Mwanzoni nimekuelewa ika mwishoni nimeshindwa msaada tafadhali mkuu
 
Nimefika muhimbili nikakuta watu kibao kwenye foleni.....nikapokea simu nikaongea kwa sauti kubwa "Ndio mweshimiwa Rais ndio tumefika hapa bado atujapata huduma tumekaa kwenye mabenchi"" manesi waliposikia wamenikimbilia kama sita sasa hivi ndio namalizia vipimo...mmoja akaniuliza mh. Rais ni nani yako nikamjibu "Rais wa kamisheni ya ngumi Tanzania Emmanuel Mlundwa ni shemeji yangu amemuoa dada yangu....sasa hivi wote wameninunia
kha aise nimecheka sna looh😵😵😵😵
 
Dogo wa miaka 8 alishtakiwa kwa kubaka.Mahakamani,wakili wake ambaye alikuwa ni wa kike,alikatoa kauume ka dogo nje kama ushahidi na kukashikilia,akasema"ndugu hakimu angalia,anaweza kubaka kweli?yaani haka tuu?"...dogo akamnong'oneza wakili wake,"usikatingishe,tutashindwa kesi!!
[emoji28][emoji23][emoji28]
 
majamaa wawili walikua wakiangalia taarifa habari,ikaonyeshwa habari ya mtu aliyejirusha kutoka ghorofa ya 10 mpaka chini na kufariki wakati hilo tukio likioneshwa lilivyotokea,ubishi ukaanza.
Don:huyu mtu hawezi kujirusha.
Jon:lazma ajirushe naafariki kama habari inavyosema.
Don:tatizo lako wewe ni mbishi..hivi unafkiri ghorofa 10 ni mchezo ee.
Jon:basi mimi nafunga pesa..asipojirusha nakupa 50000tsh.
Don:haina haja.. wewe funga jiwe..mimi ntakupa 100000tsh kama akijirusha.
jon:sawa.
wote wakatazama kwa makini nini kitakachoendelea na mwisho yule mtu alijirusha na kufariki kama habari ilivyosema.
jon:sasa je..sinilikuambia
don:sawa leo umeniotea(huku akimpa pesa Jon alizo muhaidi).
Jon alimuonea huruma Don nakuamua kufunguka.
Jon:nlikua najua kitakachoendelea,kwasababu hii habari tayari ilishaoneshwa asubuhi kwaio chukua pesa zako.
Don:hapana hata mimi niliiiangalia asubuhi ila sikutarajia kama yule jamaa(marehemu) kama angerudia kuruka tena usiku huu.
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] kazi ipo
 
faaf25b9affeaac62131d7485f3e6620.jpg
 
Sijaelewa mpaka mida hii
; nimekaa na dada mmoja kwenye daladala wakati anateremka akanikanyaga kwa nguvu nikamuuliza vipi? Kanipa bonge ya sonyo na kuniambia nilidhani bubu mbona muda wote hujaomba hata namba ya simu! Bado natafakariìi
Sikukuu.....kristmass
 
Back
Top Bottom