Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
NDANI ya daladala mtoto mmoja alikuwa akila chocolate. Alipomaliza ya kwanza akatoa ya pili na kula, aliendelea mpaka zilipofika tisa ndipo mzee mmoja aliyeketi jirani yake:
MZEE: Hivi haujui kwamba kula sana chocolate kunaweza kukuharibia meno?
MTOTO: Babu yangu aliishi vizuri kwa miaka 150 kabla hajafa...
MZEE: Aliishi vizuri muda mrefu kwa sababu ya kula sana chocolate?
MTOTO: Hapana, aliishi muda mrefu kwa sababu hakuwa akifatilia mambo yasomuhusu...