Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaTulitarajia kutakuwa na kutakuwa na cleck kutokana na utalamu wetu, Ila haina shida yoyote.
Mzazi. =Mwanangu Umeona
Hizo nyufa
Mtoto = Nimeona lakini mtaalamu Kasema yanakuwa bora yanapopumua.
Mzazi =Acha kucheza na Roho wewe cheza Biko tu Cyo kucheza na kifo.
Mtoto = [emoji125] [emoji125]
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] hii cycle aiseeUlipokuwa sekondary akaja mtu wa chuo akamchukua mpenzi wako, ukaenda chuo akaja mtu anayefanya kazi akamchukua mpenzi wako, ukapata kazi akaja mwenye gari lake akamchukua mpenz wako, ukanunua gari akaja mtu aliyeoa akamchukua mpenzi wako, ukaamua uoe kinakuja kiben10 cha chuo kinamchukua mke wako
Zote ni proc za alimentary canalHivyo ni vitenzi.
Kujamba kikiwa kitenzi kisaidizi na kunya ndicho kitenzi kikuu.
(Nkipitaga karibu yao nakuwaga hivi.)
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]```Kuna Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.
Mfano:```
1. *Mwenzako akinyolewa tia maji.*
-Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.
2. *Barua ni nusu ya kuonana.*
-Siku hizi watu wanaonana kwa watsap. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.
3. *Akili ni nywele.*
-Vipi kuhusu Mawigi?
4. *Mchagua jembe si mkulima.*
-siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.
5. *Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe.*
-siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka hausubiri kuamshwa na mtu.
6. *Polepole ndio mwendo.*
-siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki kwenye foleni kutwa
*Hatupendi mambo ya kizamani...*
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Niko tayari kufa kwa ajili yakoUkiacha NAKUPENDA, SINTOKUACHA KAMWE, UKO PEKE YAKO, NITAKUOA
Utani gani mwingine unaujua?
Zuzu kaua watu 50 kwa kuwagonga barabarani. Cheki alivyokuwa akihojiwa na trafiki:-
Traffic: Imekuaje ukaua watu wote hawa?
Zuzu: Nilikuwa spidi ghafla
nikaona watu wengi kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyaje?
Traffic: Ningemgonga yule mmoja ili kuokoa maisha ya watu wengi
Zuzu: Hivyo ndivyo nilivyokusudia lakini nilipotaka kumgonga yule
mmoja akakimbilia kwa watu
wengi akadhani sijamwona
nikamfuata huko huko!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Show nyingi za kibongo ni hatare unabananisha mtu ukutani anakuwa hana pa kutokeaYah pia nani aliwaambia waafrika kitanda lazima kiwekwe ukutani??
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Daaaaa daaaaaah, too muchMimi mwenzenu nikipanda mchicha napenda kukaa siti ya nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji377] [emoji377] Sjui nishaanza kupona
6[emoji3][emoji3]Beyonce