Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Tulitarajia kutakuwa na kutakuwa na cleck kutokana na utalamu wetu, Ila haina shida yoyote.
Mzazi. =Mwanangu Umeona
Hizo nyufa

Mtoto = Nimeona lakini mtaalamu Kasema yanakuwa bora yanapopumua.

Mzazi =Acha kucheza na Roho wewe cheza Biko tu Cyo kucheza na kifo.

Mtoto = [emoji125] [emoji125]
Hahaha
 
Ulipokuwa sekondary akaja mtu wa chuo akamchukua mpenzi wako, ukaenda chuo akaja mtu anayefanya kazi akamchukua mpenzi wako, ukapata kazi akaja mwenye gari lake akamchukua mpenz wako, ukanunua gari akaja mtu aliyeoa akamchukua mpenzi wako, ukaamua uoe kinakuja kiben10 cha chuo kinamchukua mke wako
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] hii cycle aisee
 
*Mlevi kapelekwa mahakamani Hakimu akamwambia wewe sasa hii mara ya pili unakuja hapa*

*Mlevi*: _mbona we kila siku upo hapa na hakuna alokwambia kitu_

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshahara utakaotoka wiki ijayo ndio huo huo tutautumia Christmas, Mwakampya na ndio huo huo tutautumia kununua nguo za shule za watoto madaftari kulipa kodi ya nyumba... tunakumbushana tuu maana January is a branch of science which deals with three months in it.! [emoji23]
 
```Kuna Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.
Mfano:```
1. *Mwenzako akinyolewa tia maji.*
-Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.

2. *Barua ni nusu ya kuonana.*
-Siku hizi watu wanaonana kwa watsap. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.

3. *Akili ni nywele.*
-Vipi kuhusu Mawigi?

4. *Mchagua jembe si mkulima.*
-siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.

5. *Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe.*
-siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka hausubiri kuamshwa na mtu.

6. *Polepole ndio mwendo.*
-siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki kwenye foleni kutwa

*Hatupendi mambo ya kizamani...*
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
```Kuna Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.
Mfano:```
1. *Mwenzako akinyolewa tia maji.*
-Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.

2. *Barua ni nusu ya kuonana.*
-Siku hizi watu wanaonana kwa watsap. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.

3. *Akili ni nywele.*
-Vipi kuhusu Mawigi?

4. *Mchagua jembe si mkulima.*
-siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.

5. *Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe.*
-siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka hausubiri kuamshwa na mtu.

6. *Polepole ndio mwendo.*
-siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki kwenye foleni kutwa

*Hatupendi mambo ya kizamani...*
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Namba 3 na 6 ziko poa sana
 
Zuzu kaua watu 50 kwa kuwagonga barabarani. Cheki alivyokuwa akihojiwa na trafiki:-

Traffic: Imekuaje ukaua watu wote hawa?
Zuzu: Nilikuwa spidi ghafla
nikaona watu wengi kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyaje?
Traffic: Ningemgonga yule mmoja ili kuokoa maisha ya watu wengi
Zuzu: Hivyo ndivyo nilivyokusudia lakini nilipotaka kumgonga yule
mmoja akakimbilia kwa watu
wengi akadhani sijamwona
nikamfuata huko huko!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

[emoji23][emoji23][emoji1][emoji23]
 
IMG-20171217-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom